Kuna kamchezo saivi kwa wanawake wamekagundua as the way to make sure men are not playing dirty,
--Sasa ukimtongoza tu mwanamke anakutambulisha kwa ndugu zake wote, kama ana dada waodogo mawifi watoto yani atahakikisha kwao wote wanakujua kwanza then mambo mengine yanaendelea
-Sasa unamuuliza mumyii nimekuambia ntaka kukuoa? Eti hamna sema walikuwa wanaskia tunavyongea kumbe mwenzako alishatangaza nia kwao kitambo ulikuwa unasubiriwa bwana harusi ufike, tena unapewa kwa mkopo siku hiyo hiyo, Sasa kama ulikuwa na nia ya one n9t stand utashangaa unarudi na mke ambae hukumtegemea..Niulizeni kilicho nikuta juzi hatare!!..
-Lakini ni vizuri munahakikisha haumpi mtu papuchi kama pipi vile..its a good move keep up..