New beginning
Member
- May 10, 2024
- 95
- 203
Ulichokiandika sicho kilichokuumiza, kuna kingineWasalam wakuu.
Kumekuwa na tabia ya baadhi ya wadada kuwa na maringo.
Unakuta mwanamke miaka 40 kupanda unatongzwa halafu anaweka maringo.
Mkae mkijua wanaume wa sasa sio wakizamani ukiringa wanakukaushia.
Mtu mwenyewe sura mbaya hali ngumu watoto kama wote kila mtoto na baba yake wanakuzalishi na kukuacha halafu leo unapewa laki unaringa wakati unanjaa kama zote
Haya endelea kulinga utakuja kuzikumbukua.
Najua unaringa kwasababu nimekukuta kota na nimejenga nikakuacha kota kibaya zaidi nimehama na kituo cha kazi .mtu unamiaka kumi na moja kazini hauna hata kiwanja.mimi miaka miwili nipo kwangu.nabado utazehekea kota mbwa wewe sura huna tako huna unataka kusaidiwa unaringa endelea kulinga najua unaumia kwa niliyoyafanya kwa muda mfupi niliokaa kazini.
Utakufa na roho mbaya yako ndiomaana haunenepi .
Woooiii sikuiz ukikataa once hawarudii tenaKuringa, kuwa na aibu, kupenda kubembelezwa ni asili ya mwanamke.
Haaaaahaaaa hamnakaka unachamba aseee,,au una undugu na dok kumbuka?
Sawa pamoja na hayo yote ila umekataliwa una gundu baya 😁😁Haaaahaaa hanasoko sura mbaya roho mbaya tako hana .
Sio mimi ni jamaa yanguSawa pamoja na hayo yote ila umekataliwa una gundu baya 😁😁
Kama wewe huwezi, wapo wanao weza hilo.Nani abembeleze mwanamke
Lakini wapo wanao weza hiloWoooiii sikuiz ukikataa once hawarudii tena
Haaaaahaaa jamaa yangu ameshuka chiniEasy, shuka chini.
wapi wamabaki uko?Lakini wapo wanao weza hilo
Hapa hapa Bongo, Mimi ni mmojawapo.wapi wamabaki uko?
Apelekewe motoUlikuwa unamtaka wa nini?
Mbona makasiriko mkuu! Akijiona mzuri si unamkataa kininja tu kimya kimya bila matangazoWasalam wakuu.