Wanawake na wadada badilikeni

steveson manumbu

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
887
Reaction score
178
unakuta wadada au wanaweke kila kitu walichonacho miilini mwao ni bandia(fake)
nywele bandia
kuchabandia
kope bandia
makalio bandia
nyusi bandia
weupe bandia
sura bandia
cha kushangaza eti wanadai i need a real man .
anza ww kwanza kuwa na uhalisia then ndo utampata huyo real man.
badilikeni mnadhani hao wachina hawapendi hivyo vitu na maombo yao mabaya yale ? jitambueni basi mnaboa.
 
Wapo salun ngoja watoke watakujibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…