Naunga mkono hoja, hadi saa nyingine unajiuliza 'Anatanua nini cha kujisifia? Inamaana anajisifia kwa kubadilisha watanuaji.Yani kuna raia kupitia status zao wanazoweka huko mitandaoni na kwenye wasup zao unajua kabisaa hali anayopitia kwa wakati huo,.huna haja ya kumuuliza kwa jinsi alivyojidadavua,.hasa mahusiano yao yakienda mramaπππwoii utamsikia mtu "kwa hilo hujanikomoa nimempata mwingine natanua" lolπππ
So tunafanyaje!!?
U can not ask "ar u serious?" bila kuwa serious .. the correct statement to check whether someone is serious or not (when you ar not serious) is "u cant be serious".oohh so I guess I should have asked "are you serious?" first.
U can not ask "ar u serious?" bila kuwa serious .. the correct statement to check whether someone is serious or not (when you ar not serious) is "u cant be serious".
π€£π€£π€£π€£Hapo sasa kutwa kwenye status za hao wanawake akitafuta udaku kama shilawadu afu aja kulialia humu
Mwanaume kushinda ikisoma status za watu watsup nao ni umama hahahah
Msongo mbaya sanaπNaunga mkono hoja, hadi saa nyingine unajiuliza 'Anatanua nini cha kujisifia? Inamaana anajisifia kwa kubadilisha watanuaji.
Hile status yako ya juzi mhmhhhHamna kitu nachukia kama mtu anayeweka profile picture ya "vijembe" au whatsup status. Hata kama hanichambi Mimi.
Nikiwa nime save namba yako siku nikaona umeandika maneno ya ajabu ajabu, kama vile majungu majungu huwa naifuta ili nisione.
Ni ushamba na utoto na ulimbukeni.
Halafu subiri...! Inamaana na katika hili umeona wanawake tuu ndiyo huwa wanaweka hizo status za kijinga? Wanaume hawaweki? Au umemaanisha za wanawake tuu ndiyo zinakera? Za wanaume ni asali????????
ππππ Nani sijui nimesahau alisema la moyoni hupozwa na ulimi!Haswaa