UE umemaliza lini?
Njoo inbox
Status hyo"Mama mjengo..mama aisha mwenye pesa zangu mjini ,ntawanyoosha mwaka huu mfe na kwikwi zenu mchana mchana"
Ni kweli kabixa umeongea ukweri xaxa wanatuekea wengine sjui inatuhusu nini halafu iro ritabia mnaro ninyi wanawake badilikenHalafu mara nyingi wanaowekaga hizo status za kutupiana vijembe whatsapp wengi wao ni wale ambao wanaandikaga maneno kama mm, ww, ss, xx, umekura, umerara, umeludi, umelizika, et al
Kwanza mimi mtu akiandika maneno kama hayo kuna namna ambavyo huwa namchukulia hata kama kiuhalisia hayuko hivyo ninavyomchukulia na akitamka maneno kama hivyo (hayo manne ya mwisho) ndo kabisaaaaa
Nimekuuliza maana t appears like;-unaniuliza habari za UE mwaka huu? Mkuu unanichukuliaje? Watu tumemaliza vyuo tangu enzi za Mkapa huko hata Kikwete hafikirii kuingia madarakani ndo unaniuliza leo? Haki nimeishiwa nguvu hata kama siyo kosa lako hukujua ila umenishangaza khaa
KumbeeStatus hyo
Uyo ni woteNiliview status ya mtu, kaandika ,UMBEYA TU KAZI KUVIEW STATUS ZA WATU, HUNA KAZI ZA KUFANYA,
Nilimdelete ,, sasa hapo kamlenga mmoja au wote wanaoview
Ni kweli kabixa umeongea ukweri xaxa wanatuekea wengine sjui inatuhusu nini halafu iro ritabia mnaro ninyi wanawake badiliken
Nimekuuliza maana t appears like;-
1. Bado hujajua whow and when to apply knowledge uliyonayo in real life.
2. U still remember the questions uliyofanya not a long time ago. U even provided the marks( who does that? ).
A person that u ar trying to make me believe u ar is actually not a person anayeweza kufanya ulichofanya (again i exclude u from the 1%). T'll be very funny kama utakua hujangundua kwanini nasema u dont belong in the 1%
I can't reach you... You have hidden your profile details...
Hapo sasa kutwa kwenye status za hao wanawake akitafuta udaku kama shilawadu afu aja kulialia humuKwani lazima usome hzo status mkuu?
The idea that u think m serious makes u seriousKwahiyo kumbe mwenzangu umechukulia serious yale maswali niliyokuuliza? Kwamba eti nataka unijibu kweli na kwamba ndo nilitakiwa nikuulize vile? Amazing.
Kingine nazidi kuamini kwamba watanzania wengi mnaishi kwa kukariri. Kwamba eti mimi kujua hayo maswali ni hadi niwe nimemaliza chuo hivi karibuni? What if mimi ni mwalimu ninayefundisha mambo kama hayo? I'm surprised.
The idea that u think m serious makes u serious, if i was serious, i would've answered ur questions in the first place(an it was an easy A).
Hata app store au play store pia hauna kwa simu yako?Sina APP.... kwa cm yangu.