Wanawake na message zenu mitanadaoni...!!!

[emoji23][emoji23][emoji23] wee mtata sana.
 
Naona unaitumia knowledge yako ya research methodology[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..this comment is the solid proof that ur not the type of woman i can find in 1%.[emoji1]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£ kumbe ni kweli bhana Elimu haina mwisho...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]refer question no 1
Naona unaitumia knowledge yako ya research methodology[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..this comment is the solid proof that ur not the type of woman i can find in 1%.[emoji1]
 
Kama wewe hivi ulivyokereka na kuja kutushirikisha kero yako, yanatuhusu nini sisi hayo?
Ukipata jibu basi ndilo jibu lako pia.
 
ni kweli asee nimeona jinsi ulivyoitumia hapo kutetea hoja yako ngoja siye tusubiri results labda atapata 20/20[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]akijibu nampa hela
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]akijibu nampa hela
🀣 🀣 🀣 🀣 acha kumuogopesha mwenzio.. ni kama vile upo chumba cha mtihani mtihani mgumu kweli kweli halafu anapita teacher wa somo hilo anatazama paper lako unalofanya halafu anaanza kucheka
 
Pale umeandika vijembe[emoji23][emoji23][emoji23] the only difference ni kwamba umetumia lugha ya malkia.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sasa vijembe viko wapi pale wakati nimeuliza tu kwamba kwanini unahisi kuwa sipo kwenye hiyo 1% bali nipo kwenye hiyo 99%?
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] acha kumuogopesha mwenzio.. ni kama vile upo chumba cha mtihani mtihani mgumu kweli kweli halafu anapita teacher wa somo hilo anatazama paper lako unalofanya halafu anaanza kucheka
Kama umeingia chaka lazima acheke tu na mimi hapo najua akijibu lazima ataingia chaka maana hana majibu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Uko poa kinoma bibie... Is ur PM open!?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Kama wewe hivi ulivyokereka na kuja kutushirikisha kero yako, yanatuhusu nini sisi hayo?
Ukipata jibu basi ndilo jibu lako pia.
eehhh!!!
 
"Mama mjengo..mama aisha mwenye pesa zangu mjini ,ntawanyoosha mwaka huu mfe na kwikwi zenu mchana mchana" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uko poa kinoma bibie... Is ur PM open!?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Nope
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sasa vijembe viko wapi pale wakati nimeuliza tu kwamba kwanini unahisi kuwa sipo kwenye hiyo 1% bali nipo kwenye hiyo 99%?
UE umemaliza lini? [emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…