Wanawake na message zenu mitanadaoni...!!!

Siku hizi unaandika magazeti...umemrithi amu
 


Tupo wengi..kuna mwaka nilisafiri kwenda njombe..nikapokelewa na kikund fulan hv ..basi njia nzima wakawa wanaongelea hizo status za wasap..yaan wenyewe wakiamka saa11 ni kianza kuchungulia jiran kaandika nn..yule kaandika nn..yaan hapo ilikua circle km ya watu 30 hv..hahaha..nikawaambia shida yenu nn hasa?wakasema weee!status mihimu..mtu anakufikishia ujumbeπŸ˜‚πŸ˜‚..sikumbuki lini kuweka status mm jaman..inakera mnoo
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Ndio maana sipendi kusoma status.
 
Sasa emoji zipo nyingi na siyo zote zipo romantic.
The rest unazitumia wapi ambazo haziwafai hao?

Nahisi sijuagi implication zake, lakini naona emoji ni fav kwa wanawake. Kwa sababu toka hata kabla ya emoji wanawake ndiyo walikuwa wamiliki wa vifupisha kama "k" akimaanisha okay au sawa.

Kwa hiyo imetengenezwa model ambayo inasaidia kufupisha maandishi kiufasaha.
 
Wanatumia status kinyume na lengo. Ilitakiwa status zionyeshe uko wapi au unafanya nini. Sio sehemu ya kutolea mapovu.

Mapovu katolee tweeter
 

Wanafungua status kuangalia kama wametumiwa Ujumbe au lah
.

Inakera tena siyo kidogo.
 
ahahaha kiUkukweli leo cuteb umenifurahisha sana huto tu character ni kama mimi asee.. aina ya watu ni kama niliokuwa nimewasave nami hivyo hivyo kuna wakati unajiuliza hivi huyu maadaui zake ni kina nani?? kuna wakati wanalalamika kwanini watu wame hide view status.. kumbe hatuzitazami tu sasa nitakuwa vipi nazitazama wakati najua unachopost kila siku.. kuna watu nilikua nimewasave yaani wao hata kabla ujafungua status zao unajua huyu yeye kila siku huwa anaachwa hapa atakuwa analalamika huyu yeye ni mambo ya alliance in motion huyu yeye ni memes tu za sadcasm huyu yeye ni kupost mabango tu huyu yeye ni forex hasa hasa hawa wa forex na alliance kama unaview status zao na haujajiunga kwao mabango yao si ya mchezo mchezo unaweza sema hii dunia nitakufa maskini peke yangu. ogopa sana hawa wanaotumia vimaneno vya bwana bwana sijui tukwaya sasa hawa wengi wao wana fake tu all in all najua kila mtu ana namna anavyojua furaha yake anaipataje ndio maana hawa developer wa whatsapp wakaweka kasehemu ka hide status... ndio maana telegram itabaki kuwa ya wajanja siku zote
 
Futilia mbalii... Ulifanya vizuri.
 
umenena vema..mi liwai kufungiwa ndani getkali mwaka mmoja na miez 4 hakuna kutoka wala sina wa kuongea nae wa makamo yangu..yaan uwez amini nlikua naandika kwenye daftar machungu yangu yooote mbka naanza kulia uku naandika daftar lnaloa..nilikosaga mtu wa kumuelezea..
 
Dogo! Habali yako
 
Status zina raha yake huwez ukazipita. Mie napenda za wanandoa wenye mgogoro aiseee utafahamu kila kinachoendelea ndani ya nyumba
Kuna demu mmoja naenda mmblok si mda..

Daily anapost.... I miss u.... I miss u ... I miss u...
Huyu mtoto nilishamla..nikimuomba game saivi hataki..
Najua kabisa ujumbe huo anaulenga kwangu.. Sasa sijui kama kweli kapata mtu mwingine au lah!
 
pole sana ila na wewe sasa usijewafunga watoto wako kama ulivyofanyiwa wao... ahaah nadhani ulikua mtundu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…