Wanawake na message zenu mitanadaoni...!!!

Aisee basi uko tofauti na wenzio wengi....
Mara chache au hamna kabisa wanaume wanaochambana kwa style hiyo aisee...
 

Punguza kurusha mawe Gizani, Mungu anakuona
 
Yaani kiukweli wanaoandikaga hivyo wanazingua sana
Hapana niki- assess naona reality to brutalised users wa laugha tatanishi kiukweli umeweka ukweli halisi .......
 
Yaani kiukweli wanaoandikaga hivyo wanazingua sana

Ndio uhuru wa maoni na uwasilishaji, inaudhi yet mambo ya wakati,

Ya ujana na vijana muda wote pasua kichwa

Kwa conservatives ni mitihani mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…