Kwanini husomi na kupita kama hazikuhusu?
Nadhani kusoma siyo kuelimika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani kuna raia kupitia status zao wanazoweka huko mitandaoni na kwenye wasup zao unajua kabisaa hali anayopitia kwa wakati huo,.huna haja ya kumuuliza kwa jinsi alivyojidadavua,.hasa mahusiano yao yakienda mrama[emoji23][emoji23][emoji23]woii utamsikia mtu "kwa hilo hujanikomoa nimempata mwingine natanua" lol[emoji13][emoji13][emoji13]
Status zina raha yake huwez ukazipita. Mie napenda za wanandoa wenye mgogoro aiseee utafahamu kila kinachoendelea ndani ya nyumba
Ni kweli sisi tumezidi kupost vitu vya hovyo.Mimi sikumbuk mara ya mwsho lini ila wanawake mmezidi au n kwasababu nna namba nyingi za KE [emoji16]
Babe huwa haumpost[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]lol mimi siwekagi vijembe mara nyingi nawekaga funny videos and memes hata siwekagi vitu vya maana na mimi kuweka status ni mara moja au mbili kwa mwezi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mpunguze ni muhim ku handle private life privately wengi wanayaanika hadharan nakumbuka miaka kama miwili nyuma nlikua na mwanamke uyo mkipishana kidogo utakoma kwa hizo status, hakwambii kitu utapata ujumbe kwa status ikawa tukikosana nafutilia mbali namba ili nsiview ujinga wakeNi kweli sisi tumezidi kupost vitu vya hovyo.
Wanaume wana post ila wanajitahidi hawaweki mipasho sana. Japo wapo wanaowawakilisha kwa kuweka vijembe kama vyote na hizi alama [emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]
[emoji23][emoji23][emoji23] ila kuna watu kwenye status wana mapenz moto moto [emoji91][emoji91][emoji91] kama uko na upweke unaeza jiuliza unafeli wapi lakin weng wao wanaachanagaBabe huwa haumpost[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Na kuandika "asante mpenzi kwa penzi la last night"??? Sema kweli[emoji23][emoji23]
Hamna kitu nachukia kama mtu anayeweka profile picture ya "vijembe" au whatsup status. Hata kama hanichambi Mimi.
Nikiwa nime save namba yako siku nikaona umeandika maneno ya ajabu ajabu, kama vile majungu majungu huwa naifuta ili nisione.
Ni ushamba na utoto na ulimbukeni.
Halafu subiri...! Inamaana na katika hili umeona wanawake tuu ndiyo huwa wanaweka hizo status za kijinga? Wanaume hawaweki? Au umemaanisha za wanawake tuu ndiyo zinakera? Za wanaume ni asali????????
...... Mungu ananisimamiaa...Umenena sahihi kabisa, huwa sielewi lakini nafikiri ni uelewa mdogo juu ya matumizi ya hii mitandao ya kijamii, huenda huyo anayemsema anatumia simu ya tochi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787]
Kupunguza ndiyo mtu sasa uelimike.Mpunguze ni muhim ku handle private life privately wengi wanayaanika hadharan nakumbuka miaka kama miwili nyuma nlikua na mwanamke uyo mkipishana kidogo utakoma kwa hizo status, hakwambii kitu utapata ujumbe kwa status ikawa tukikosana nafutilia mbali namba ili nsiview ujinga wake
Wanaziita meme[emoji23]Weka basi vitu vya maana ambavyo vitawa inspire wanao view. Unakuta mtu anaweka kila kitu na hamna hata cha maana hata kimoja zaidi ya kujichoresha.
Mimi nikiweka status ni tangazo la biashara basi.
Don bhana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Ukiona mwanaume anayependa kuandika kwa kuweka emoji nyingi nyingi, ujue huyo naye ni mtu wa status pia. In short, ni mwenzenu.
Sio degree tu wapo wenye masters na wanafanya uo ujinga, elimu inasaidia lakin n mtu mwenyewe kujitambua
Ndio zipoje izo meme ?Wanaziita meme[emoji23]
Asante kwa kuniongezea maarifa mkuu nmekuelewa vyemaFact ila na master's ni degree pia mkuu tukisema degree tunamaanisha associate, bachelor's, master's na doctorate zote hizo ni degree ila ukitaka kuongelea moja ndo unaspecify ni ipi kati ya hizo sema ndo hivyo kwa Tanzania imezoeleka bachelor's tu ndo degree kwahiyo nimekuelewa
Hahahahahah noma sana.... Machozi ya samaki yanapata mfarijiHahahahah nafuta namba hapo hapo.
Unajua tatizo ya hivi vitu unaweza dhani mtu kamwekea mtu mwingine kumbe amekuwekea wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uki view anasema Yeees!
Memes hazina shida bhana[emoji23]Wanaziita meme[emoji23]