Nisipofuta namba niki mute, nitajikuta nashawishika kuangalia jee Leo ana jipya gani.Why ufute namba? mute status
Tajiri hanuniwi.
Yeah ni kweli sio wanawake tu sikuhizi wanaume nao hawapo nyuma; mfano ni type za kina diamond bingwa wa mipasho na bado watu wanampongeza kwa mipasho yake na wapo wengi tu, si kina Dada pekee, sijui ndio mambo ya haki sawa kwa wote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Halafu mara nyingi wanaowekaga hizo status za kutupiana vijembe whatsapp wengi wao ni wale ambao wanaandikaga maneno kama mm, ww, ss, xx, umekura, umerara, umeludi, umelizika, et al
Kwanza mimi mtu akiandika maneno kama hayo kuna namna ambavyo huwa namchukulia hata kama kiuhalisia hayuko hivyo ninavyomchukulia na akitamka maneno kama hivyo (hayo manne ya mwisho) ndo kabisaaaaa
Kizaa zaa kinakuja pale ambapo ulomlenga aview anatumia clone whatsapp alafu amehide view status. Anapita zake anaiangalia kimya kimya alafu hamuoni hapo presha juu 😃Hahahahah nafuta namba hapo hapo.
Unajua tatizo ya hivi vitu unaweza dhani mtu kamwekea mtu mwingine kumbe amekuwekea wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uki view anasema Yeees!
Atajua tuu umeview, kama za nyuma ulikuwa unaview na unaacha comment na anaona haujatokea kwenye list, na hiyo atajua umeview tuu[emoji23][emoji23][emoji23].Kizaa zaa kinakuja pale ambapo ulomlenga aview anatumia clone whatsapp alafu amehide view status. Anapita zake anaiangalia kimya kimya alafu hamuoni hapo presha juu [emoji2]
Wanawake mmezidi, unakuta limtu limezinguana na mpenz wake kutwa nzima ni kupost ushenzi kudharau/kuikejeli jinsia tofauti [emoji51][emoji51][emoji51]Hamna kitu nachukia kama mtu anayeweka profile picture ya "vijembe" au whatsup status. Hata kama hanichambi Mimi.
Nikiwa nime save namba yako siku nikaona umeandika maneno ya ajabu ajabu, kama vile majungu majungu huwa naifuta ili nisione.
Ni ushamba na utoto na ulimbukeni.
Halafu subiri...! Inamaana na katika hili umeona wanawake tuu ndiyo huwa wanaweka hizo status za kijinga? Wanaume hawaweki? Au umemaanisha za wanawake tuu ndiyo zinakera? Za wanaume ni asali????????
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Yaani ukishaona vijembe lazima mtu awe wa hivyo. Na elimu pia inachangia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Wanawake mmezidi, unakuta limtu limezinguana na mpenz wake kutwa nzima ni kupost ushenzi kudharau/kuikejeli jinsia tofauti [emoji51][emoji51][emoji51]
Ao ni wale wenye tabia za dada zaoSio wanawake tu hata wanaume baadhi wanahiyo tabia kiukweli sio nzuriiii
Weka basi vitu vya maana ambavyo vitawa inspire wanao view. Unakuta mtu anaweka kila kitu na hamna hata cha maana hata kimoja zaidi ya kujichoresha.Ni ulimbukeni kuweka maisha yako na kila kinachoendelea kwenye mitandao, kuna ambao kila wanachofanya utaona kaweka status na maneno ya ajabu utadhani kalogwa
Sio degree tu wapo wenye masters na wanafanya uo ujinga, elimu inasaidia lakin n mtu mwenyewe kujitambuaYeah hata mimi pia nadhani elimu inachangia kwa wengi wao japo kuna ambao wana degree na wanaandika hivyo sasa hawa mimi ndo huwa nashindwa kuwaelewa kabisa sijui elimu yao haijawasaidia?
Nadhani kusoma siyo kuelimika.Yeah hata mimi pia nadhani elimu inachangia kwa wengi wao japo kuna ambao wana degree na wanaandika hivyo sasa hawa mimi ndo huwa nashindwa kuwaelewa kabisa sijui elimu yao haijawasaidia?
[emoji23][emoji23][emoji23] me kuna watu hata wanilipe siwezi view status zao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sio kutwa nzima tuu . Yaani ni 24/7/365.
Hana marafiki wa kiume kwenye social media. Hivyo ni ngumu yeye kujua status za wanaume. Hebu subiri aje, am just saying.Hamna kitu nachukia kama mtu anayeweka profile picture ya "vijembe" au whatsup status. Hata kama hanichambi Mimi.
Nikiwa nime save namba yako siku nikaona umeandika maneno ya ajabu ajabu, kama vile majungu majungu huwa naifuta ili nisione.
Ni ushamba na utoto na ulimbukeni.
Halafu subiri...! Inamaana na katika hili umeona wanawake tuu ndiyo huwa wanaweka hizo status za kijinga? Wanaume hawaweki? Au umemaanisha za wanawake tuu ndiyo zinakera? Za wanaume ni asali????????
Hakika hilo nalo ni tatizo!Zile --------------------- huwa zinaniacha hoi. Mtu anabandika mistatus kama yote
Mimi sikumbuk mara ya mwsho lini ila wanawake mmezidi au n kwasababu nna namba nyingi za KE [emoji16]Weka basi vitu vya maana ambavyo vitawa inspire wanao view. Unakuta mtu anaweka kila kitu na hamna hata cha maana hata kimoja zaidi ya kujichoresha.
Mimi nikiweka status ni tangazo la biashara basi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]lol mimi siwekagi vijembe mara nyingi nawekaga funny videos and memes hata siwekagi vitu vya maana na mimi kuweka status ni mara moja au mbili kwa mwezi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Weka basi vitu vya maana ambavyo vitawa inspire wanao view. Unakuta mtu anaweka kila kitu na hamna hata cha maana hata kimoja zaidi ya kujichoresha.
Mimi nikiweka status ni tangazo la biashara basi.