Wanaume hatuwekeani status za vijembe ukitaka kumchana mtu tunaendaga direct DMHamna kitu nachukia kama mtu anayeweka profile picture ya "vijembe" au whatsup status. Hata kama hanichambi Mimi.
Nikiwa nime save namba yako siku nikaona umeandika maneno ya ajabu ajabu, kama vile majungu majungu huwa naifuta ili nisione.
Ni ushamba na utoto na ulimbukeni.
Halafu subiri...! Inamaana na katika hili umeona wanawake tuu ndiyo huwa wanaweka hizo status za kijinga? Wanaume hawaweki? Au umemaanisha za wanawake tuu ndiyo zinakera? Za wanaume ni asali????????
Haya.Wanaume hatuwekeani status za vijembe ukitaka kumchana mtu tunaendaga direct DM
HaswaaKuna amani flani mtu anaipata moyoni mwake akilitoa linalomsibu hadharani!
Haijalishi njia ipi ametumia..... Hasa kwa jinsia hii ya kike!!
Why ufute namba? mute statusHamna kitu nachukia kama mtu anayeweka profile picture ya "vijembe" au whatsup status. Hata kama hanichambi Mimi.
Nikiwa nime save namba yako siku nikaona umeandika maneno ya ajabu ajabu, kama vile majungu majungu huwa naifuta ili nisione.
Ni ushamba na utoto na ulimbukeni.
Halafu subiri...! Inamaana na katika hili umeona wanawake tuu ndiyo huwa wanaweka hizo status za kijinga? Wanaume hawaweki? Au umemaanisha za wanawake tuu ndiyo zinakera? Za wanaume ni asali????????
Hahahahah nafuta namba hapo hapo.Unaamka asubuhi unakuta "HAKUNA WA PEKE YAKO"