Wape PESA TUnatumai hamjambo wakuu.
wanaume tunaumia sana tukijua/kuhisi kua wake zetu/wenza wamechepuka, maumivu haya kwetu sisi ni zaidi ya msiba coz hutufanya tufikirie labda hatujiwezi au hatuna thamani tena kwa wenza wetu...
tafadhali nawaombeni sana kupitia uzi huu mtupatie mwongozo wa mambo yoote ambayo tukiwafanyia kamwe hamtoweza kuchepuka.
sawa bt majibu yao ndo yakua sahihi zaidiWape PESA TU
Nasema tena Toa PESA
Mwaga MPUNGA
Usisubiri kuombwa
Honga sana Mkuu
achana na mbwembwe za kitandani utavunja kiuno
Mimi sio ke mkuumkuu mchango pleas coz nawe ni ke
ahsante bt majibu yao ndo yatakua sahih zaidi.Ngoja niwasaidie wanawake -mwanaume awe mwaminifu na amtimizie mwanamke hisia za kimwili na roho
mkuu we ni waifu matirio kabisa alafu unaikataa jinsia yako kisa hutaki tupa mwongozo, ujue tumeamua kutafuta suluhu ya jambo hili kwa kuwashirikisha hivo ushiriki wenu ni muhimu sana.Mimi sio ke mkuu
Aiseeemkuu we ni waifu matirio kabisa alafu unaikataa jinsia yako kisa hutaki tupa mwongozo, ujue tumeamua kutafuta suluhu ya jambo hili kwa kuwashirikisha hivo ushiriki wenu ni muhimu sana.
duhWACHEPUKAJI 6:5-8,inasema,je hamjui ya kuwa dawa ya mwanamke kuacha kuchepuka ni KIFO?basi sasa nawasihi mabaharia msijisumbue kuwalinda wake zenu maana kadiri ile unavyonyandua mke wa mtu ndivyo na wako wanamnyandua wako.....#obheja
no way out, we tuletee nondo za mwongozo mkuuAiseee
Uchepukaji na tabia tu ya mtu mkuu hata ungempa moyo wako kama umeoa malaya atachepuka tu. Maana kama kuna vitu anahitaji si anatakiwa aseme tuno way out, we tuletee nondo za mwongozo mkuu
mkuu nakukumbusha jinsia yako we ni ke hivo karibu kwa mchango wako.Wanakuja..maana sielewi jinsia yangu.
Ngoja Kwanza nijikague.mkuu nakukumbusha jinsia yako we ni ke hivo karibu kwa mchango wako.
aiseeeNgoja Kwanza nijikague.