Wanawake mna roho ngumu sana


Kuna kitu kinaitwa targeted Market, yani level yako ya soko.

Wewe umetarget wanawake wa hovyo hivyo, sikulaumu.

Target market yangu hawezi kuja hata iweje, na itachukua hata miezi 6.

Na mimi pia, siwezi muita mwanamke low level wa kiasi hicho.

Kwa hiyo wewe unavyomshangaa ndo mimi nakushangaa, maana ujasiri uliona ni wa ajabu.

Cheap, cheap, cheap, is very expensive.
 
[emoji23][emoji23] kwamba target yako hawezi kuja mpaka miezi sita!!.
Nyiendio mnaepigwa kwasababu ya uoga uoga, trust me, all women are very cheap kwa wanaume.
Dude stop coward!.
 
πŸ˜€ Dodoma City
 
Ushajiuliza wewe unayeita mtu humfahamu akija kukufia ndani kumbe kasahau dawa ya pumu na wewe umemkunja mikao itakuwajee Mkuu?

Utagundua nao hawauwazi huo ujio wao kama hatari, sawa na wewe tu usivyowaza hatari zake.
Hatari kweli kweli
 
Yaani km 45 tu unaona nyingi?
Watu wameenda mpk nje ya nchi nauli za ndege zilitumwa itakuwa ya dar.!!!!?
Btw hata huo ni mwanzo wa kufahamiana pia
 
Nikitumaga nauli sipigi cm kuuliza chochote mpaka muhusika anitafute mwenyewe, nakausha kama sina habari lakini nakuwa na ghadhabu kama nyati [emoji23][emoji23].


Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Sasa ghadhabu ya nini wakati huna habari naye😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…