habari..?.
Wanawake wa kileo wengi wao wana tabu sana(sio wote), unaweza ukazoeana nae na mkawa karib sana, lakin ukaribu huo ukimchukulia kama dada usipomletea 'umende' mwisho wa siku kuna kijidharau kanjitokeza.
sasa ili kuepuka dharau hizo ndio mana siku hizi wanaume wengi wamekuwa kama 'CHECHE MTUNGI'(play boy)/Chapa ilale...
NB: si wanawake wote