Al-shabaab
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,791
- 620
Habri zenu wana MMU'
Nimekua nikijiuliza mara kwa mara kuhusu system wanayotumia wanawake kufichua watu wanaowasumbua kwa kuwahitaji ki mapenzi ambapo mwanamke huamua kumwambia bwana yake na kumpatia namba ya huyo bwana anayemsumbua je, hiyo ndo solution ya kutatua tatizo?
na katika upande wa wanaume wanafanya hivyo kwel kwa wale wanawake wanaowasumbua ki mapenzi?
Hebu share ujuzi wako katika hili.
Ni ujinga tu...we unatakiwa kujiongeza...unadhani atakao wakubali atakuambia?...ni sawa na mtoto wa kike akiwa mdogo,akitongozwa tu mbio kwa mama kusema, subiri aanze yale km taarifa zitaendelea.
Mi na deal nae mwenyewe tu kwani mtu akikutaka ni kesi? Si unaamua kumkataa au kumkubali, husband wa nini hapo sasa? Unless jamaa king'ang'anizi hasikii. Ila zipo zile umekutwa sasa na husband ili kuyeyusha soo unajidai ah huyu jamaa huwa ananisumbua mi simtaki lakini yeye hasikii... ebu ongea nae wewe! Hubby nae anakulupuka anapiga simu, kijana anabaki kushangaa! Later watu huwa wana apologise bwana eee saa zile issue ilikuwa imekaa vibaya nilishikwa
Ni ujinga tu...we unatakiwa kujiongeza...unadhani atakao wakubali atakuambia?...ni sawa na mtoto wa kike akiwa mdogo,akitongozwa tu mbio kwa mama kusema, subiri aanze yale km taarifa zitaendelea.
Kwa wanaume sio rahisi kumwambia mke wake kua ansumbuliwa.. ila kuna baadhi ya wanawake wanahaka katabia.. Na sio sahihi coz we ni mtu mzima na unamaamuzi.. inamaana unshindwa kumstop mpaka uombe msaada. au nikujikosha tu.
kwa nn sio sahihi miss chagga