Wanavyofanya Waganga Part1

hahahahahah embu usinichekeshe mie,wewe mzizimkavu unatofauti gani na waganga wanaozungumziwa hapo????.....unatuzuga sana wana JF na tiba zako za makwato ya ng'ombe kupanda juu ya mti na kukojoa.....hahahhahahahahhahahahahahhahhaahhaah
 
Mpenzi mimi ninatoa Dawa wewe kama una kojoa kitandani kajaribu Kwato la N'gombe litakusaidia tu au kama una mtoto wako anakojoa kitandani kajaribu ile dawa ya kwato la N'gombe litamsaidia mtoto wako kuacha kukojoa kitandani unasemaje? Jaribu dawa zangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…