aaaa wapi umechemka kama mwanaume ukweli anza na mie kama utaipata papuchi tena nakushauri uje na id hata zaidi 1000 uone kama utapata.
Tatizo mnachanganya kati ya wanawake na machangu.
Na wewe
akenajo aliyekuambia nani mwanamke tu anatakiwa kuwa bikra???vitabu gani va dini vinaruhusu wanaume kuzini??au mila gani inaruhusu wanaume kudo kabla ya ndoa??
We hukuona zamani baada ya ndoa bi harus na bwana harusi wanasindikizwa na somo mpaka ndani kuelekezwa jinsi ya kufanya???maana kulikuwa na wanaume wengine hata shimo hawalijui.
Acheni hizo kila siku wanawake wanawake badilikeni basi.
Mkinyimwa mnaleta thread ooo wanawake wana roho ngumu sana.
Mkipewa ooo mtatoaje kabla ya harusi.
Basi tafuteni super glue tundu walifunge kabisa lipotee au lifanyiwe operation lizibwe.