Kwahiyo kubaka kupo pâle pale
Demiss...,
Unajua hili tendo la "Kumbatano" halina " formula" kamili, ya kwamba eti ukitaka kula au kuliwa, basi cha kwanza uombe ruhusa.., halafu uvue chupi.. NOOO...!
Dear.., ni muhimu sana kwanza kumfahamu mpenzi wako anapenda nini, namna gani, wakati gani, mahali gani, muda anaodumu ktk tendo, nk..
Halafu, na wewe Demiss..., ni vizuri ukamwelekeza mpenzi wako unataka nini, namna gani, mahali gani, mara ngapi.. , nk.
Lakini ujue hili tendo mara nyingine linatokea tuu, kutokana na vile utakavyomwona mpenzi wako alivyo au anavyoonekana "sexy" siku hiyo... Inawezekana wewe hujui kuwa wanaume wanatamani tendo kutokana na kuona viashiria fulani toka kwako wewe mpenzi wake, au hata kwa kuona/kutamani mwanamke mwingine mrembo mahali /jirani /picha , halafu akaja kumalizia haja zake kwako..
Sasa usipoelewa hili, ukamnyima.., ujue atatafuta mapoozeo mahala pengine...
Sasa omba Mungu akute huko alikoenda hakuna ladha, utakua umepona..
Wanawake mna namna nyingi sana ya kuwaridhisha wapenzi wenu, mkikubali nafasi zenu, kama watoto wa Tanga walivyo...
, basi mtawa-control sana wapenzi wenu...
Kwa hiyo Demiss.. , kua tayari kumbatano kila wakati, ukijua kua wanaume wako tayari kukuinamisha kila wakati wakitamani... Achana na formulas..., huta enjoy sex...