Wanaume wengi hawajui kufanya mapenzi ila wanachofanya ni kubaka wapenzi wao

Muzine

JF-Expert Member
May 4, 2017
32,366
60,399
KUBAKA MPENZI WAKO
Ni kufanya tendo là ndoa na mwanamke bila idhini yake ikiwa idhini hiyo mwanaume kaipata kwa

-Nguvu/kumlazimisha mwanamke baada ya dushe kusimama ghafla baada ya kuwa karibu Au kumuona tu mpnz wako.

-Mwanaume kujifanya kuumwa na kuzidiwa na mihemko kugalagala ovyo kitandani kama anataka kukata roho na kujifanya dawa ni mpaka tendo là ndoa na hizo viagra mtakufa wengi.

-Kumnunia mwanamke na kuacha kupiga soga baada ya kuona mwanamke hayuko tayar ambapo hupelekea kwamba mwanamke kulinda penzi lake anajilazmisha kukupa tendo là ndoa kwa kujikaza tu kukuridhisha hivyo unakuwa umembaka.

Wanaume mtaacha lini kutubaka kwann hamko romantic jaman ? Kama unataka tendo là ndoa muandae mapema mpnz wako aandae mashambulizi ya mechi sio unadanganya unaumwa mpnz wako anakuja kukusalimia hana hata wazo là tendo akifka dushe juuu juu kama kichwa cha nyokaa aliyeona binadamu kwann sio wakweli jamani ?

Tunawavumilia sana tuma hata sms tu asubuh Baby leo nataka tucheze mechi mtu siku nzima anakuwa anapanga kikosi jion kila mtu ana mzuka wa mechi umeona wapi unaenda uwanjan kuangalia uwanja unaambiwa ucheze hata huna vifaaa.
 
Au unakuta wote wametoka kazin na wamechoka tena unakuta mwanamke kachoka zaid anarud home atafanya mjukumu yake kama mama but mwanaume ana rest tu akifika chumban anakuwa hajskii na chochote kile inatokea mambo ya kulazmishana sasa
 
Kwahiyo kubaka kupo pâle pale
Demiss...,

Unajua hili tendo la "Kumbatano" halina " formula" kamili, ya kwamba eti ukitaka kula au kuliwa, basi cha kwanza uombe ruhusa.., halafu uvue chupi.. NOOO...!

Dear.., ni muhimu sana kwanza kumfahamu mpenzi wako anapenda nini, namna gani, wakati gani, mahali gani, muda anaodumu ktk tendo, nk..
Halafu, na wewe Demiss..., ni vizuri ukamwelekeza mpenzi wako unataka nini, namna gani, mahali gani, mara ngapi.. , nk.

Lakini ujue hili tendo mara nyingine linatokea tuu, kutokana na vile utakavyomwona mpenzi wako alivyo au anavyoonekana "sexy" siku hiyo... Inawezekana wewe hujui kuwa wanaume wanatamani tendo kutokana na kuona viashiria fulani toka kwako wewe mpenzi wake, au hata kwa kuona/kutamani mwanamke mwingine mrembo mahali /jirani /picha , halafu akaja kumalizia haja zake kwako..
Sasa usipoelewa hili, ukamnyima.., ujue atatafuta mapoozeo mahala pengine...
Sasa omba Mungu akute huko alikoenda hakuna ladha, utakua umepona..

Wanawake mna namna nyingi sana ya kuwaridhisha wapenzi wenu, mkikubali nafasi zenu, kama watoto wa Tanga walivyo... , basi mtawa-control sana wapenzi wenu...

Kwa hiyo Demiss.. , kua tayari kumbatano kila wakati, ukijua kua wanaume wako tayari kukuinamisha kila wakati wakitamani... Achana na formulas..., huta enjoy sex...
 
Au unakuta wote wametoka kazin na wamechoka tena unakuta mwanamke kachoka zaid anarud home atafanya mjukumu yake kama mama but mwanaume ana rest tu akifika chumban anakuwa hajskii na chochote kile inatokea mambo ya kulazmishana sasa
Wanapenda kutubaka hatuna namna
 
26 Reactions
Reply
Back
Top Bottom