mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,650
- 4,481
Ukweli ni kwamba mwanamke asiyesaliti ni mmoja Kati ya wanawake kumi, wanaume Wana haki ya kuwa na wasiwasi na kuhoji labda kama hakupendi ndo anakuwa hana time.
Eti Mama Mzungu
TRUEUkweli ni kwamba mwanamke asiyesaliti ni mmoja Kati ya wanawake kumi, wanaume Wana haki ya kuwa na wasiwasi na kuhoji labda kama hakupendi ndo anakuwa hana time.
Bila picha ni uzushi!
7 Kati ya 10.Na wanaume wasiosaliti ni wangapii kati ya 10
Bora uamini kuti linalo anguka sio mwanamke.Eeeh mtu unapendwa ila hujiamini muda wote unawaza unaibiwaa
7 Kati ya 10.
Wanaume asilimia kubwa wakiwa na amani hawawezi msaliti mwanamke anayempenda.
Hata ndani ya Maandiko matakatifu, Mwanaume aliwekwa kuwa kichwa cha ndoa kama Kristo alivyo kichwa cha Kanisa. Kristo hawezi acha Kanisa lake akiwa na amani nayo.
Bora uamini kuti linalo anguka sio mwanamke.
Kama ni uongo wa wazi, kwanini Mungu alimchagua mwanaume kuongoza Kanisa na sio mwanamke?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]uongo wa wazi kAbisaa humu si mnajisifia muna michepuko kwamba Hakuna mwanaume asie cheat
Wako wengi hawacheat na Mimi ni mojawapo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]uongo wa wazi kAbisaa humu si mnajisifia muna michepuko kwamba Hakuna mwanaume asie cheat
Wanaume walioko jamiiforums sio wanaume wote Tanzania. Sawasawa na wanawake pia, ila nilichogundua tabia za wanawake ni zilezile tofauti na mwanaume kabisa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]uongo wa wazi kAbisaa humu si mnajisifia muna michepuko kwamba Hakuna mwanaume asie cheat
Wenzako wamekalia p*****. saivi wewe nguvu za kuja huku kutusemea wanaume unazitolea wapi?
Kama hauna mtu weka vigezo vyako umpate mwenzio umfundishe kuwa na confidence.
Tulishakataza nyuzi kuandikwa usiku, mnatufanya wengine tusifanye kazi zetu kwa weledi... concentration inapotea kabisa
Wanaume walioko jamiiforums sio wanaume wote Tanzania. Sawasawa na wanawake pia, ila nilichogundua tabia za wanawake ni zilezile tofauti na mwanaume kabisa.
Nina marafiki wengi sana wa kiume ni mabikra hawajawahi kutana na wanawake ila wanawake wengi hata wale wanaolialia kanisani hakuna bikra pale, Sasa kama umeshindwa tu kulinda bikra yako, je kwanini mumeo asiwe na wasiwasi ya kusalitiwa ?