Wanaume wa Jf walivyo!...

Mweeee unataka aendeleee kunitukana maana ukipitia threads zangu lazima ukutee matus yakeee
Hahhaaa! Kwani yanakutoboa? Muache atukaneee apambane na stress zake.
 

Id fake zinatufichia mengi kwakweli.
Niliaibika hiyo sku yan namtania muheshimiwaa jaman khaaaa mwenyewe na maneno yangu ya kichokoz yalinishukaaa shuuu sku hizi ananiambia amemiss utan wanguu anajutaaa kwann nilifahamiana nayeee anamiss vingi maana nilkuwa najiachia

Dada nisingeweza tena maana mtu mkubwaa mzito jaman loooh
 
Hahahahaaaa!!! Na sijui huw ana stress gani hadi awe anatukana vile.
 
"Povu ruksa maana nachoma mioyo ya wengi"


ngoja waje uliowachoma mioyo yao.
 
Lakini Demi...!


Hivi lakini kwa nini mtu asijikubali tu alivyo, halafu tena kwa mwanaume huwa naona kinyume sana wakijibadili muonekano.
Inaonekana kabisa hawajiamini na kwa mwanaume haipendezi kwa kweli.

Kama juzi kati hapa nilimuona mkaka fulani mahala very handsome mwenyewe, halafu kaanza kuwa na gray hair zile zinatokeaga moja moja na wala hajazibadili. Lakini usoni anaonekana kama kijana mdogo tu.
Kwa kweli nilimu admire kwa kuonyesha ujasiri na grey hair zake bila kuficha.
 
Mama Sabby umenichekesha kwa huu Uzi. Sijui nilikuwa wapi siku ya tar 14 Feb
 
Acha kabisaa kuna watu wana comment kama vijana kumbe vibabu sasa utakavyokuwa unachat unamwambia mambo sweety rafiki na yy anakubali kumbe anafaaa kupewa shikamooo sku ukimuonaa linakushukaaa shuuuuuu
Demiss unatutusi wengi, vibabu vijana tupo
 
Ungempa tuu.. Au angeibandua na kuondoka nayo!?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…