Msukuma wa dar
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 1,160
- 1,203
hahahahahaaa....wee jamaa acha hizo kareti zinaweza kucheza na nguvu ya vitofa....huyo muhuni tu mwalimu wa kareti hawezi kuwa mjinga hivyo.Jamaa ni mwalimu wa kareti ....anapiga ngumi vibaya mno,tena anapenda mkiwa wengi...
Sasa c mwende wachache tuJamaa ni mwalimu wa kareti ....anapiga ngumi vibaya mno,tena anapenda mkiwa wengi...
Kwahiyo mnakubali kuwa mwanaume mmoja anadindishia wanaume wa mtaa mzima? wanaume zaidi ya mia mnahanya mbele ya chalii mmoja kisa anapiga taikondo? Pambafu kabisa, au kwakuwa dar hakuna mawe kwa street ni mchanga tu?Tatizo Buguruni Masaki kule Obey Askari wana Patrol usiku mzima huku Uswahilin kwenye maeneo Korofi hawaji mpaka wasikie CHADEMA wanataka kuandamana mutawasema Wanaume wa Dar kila siku halafu Dar tuna ndugu zetu jamani sasa mbona munawasema hivo
Yap! Tena mwalimu wa Karate anakuwa na nidhamu ya hali ya juu, huyo ni muhuni tu hata huo mchezo wenyewe hajapitia, naweza sema kaangalia zile Movie za jack chan ndo akawa anafanya majiribio, binafsi nimecheza Kombat,wakati naanza nilikuwa napenda ugomvi lakini jinsi nilivyokuwa nazoea nikawa naanza kuogopa ugomvi ikafikia kipindi mtu ananitukana mimi nacheka tu kwa kumdharau, lakini mwanzo mtu alikuwa akiongea vijimaneno kidogo tu namwambia, "tupigane basi". Lakini sasa hivi nimekuwa mmoja wa watu wastaarabu sana, ila USINIJARIBUhahahahahaaa....wee jamaa acha hizo kareti zinaweza kucheza na nguvu ya vitofa....huyo muhuni tu mwalimu wa kareti hawezi kuwa mjinga hivyo.
Mkuu em jenga pcha unashuhudia mtu anapofuliwa mbele yako na uwezo WA kumsaidia unao..dah hii n hatari sasTatizo Buguruni Masaki kule Obey Askari wana Patrol usiku mzima huku Uswahilin kwenye maeneo Korofi hawaji mpaka wasikie CHADEMA wanataka kuandamana mutawasema Wanaume wa Dar kila siku halafu Dar tuna ndugu zetu jamani sasa mbona munawasema hivo
Hahahah..mwambie aache maisha ya kuigiliza,uku atuishi kwa kuigilizanaKuna best angu kaenda dar bhana anaogopa kuagiza ugali, teh eti meza zote watu wanapiga viepe.
Cc: naan ngik-kundie
Awa jamaa wanatia hasira aisee,unaweza kufa wao wanakuangalia uku wanakula chips tuKwakweli dar watu ni waoga vibaya wanaogopa hadi mateja mbona sisi mwanza hatuko hivyo
Hahah..mnatia hasira kuku nyinyi..Hahaaaa, we jamaa upate hicho cheti uondoke maana hata mwandiko umeanza kuandika kama wanaume wa dar.
Kuna best angu kaenda dar bhana anaogopa kuagiza ugali, teh eti meza zote watu wanapiga viepe.
Hahahaha pambav uyuuu na utetez wake mwepesKwahiyo mnakubali kuwa mwanaume mmoja anadindishia wanaume wa mtaa mzima? wanaume zaidi ya mia mnahanya mbele ya chalii mmoja kisa anapiga taikondo? Pambafu kabisa, au kwakuwa dar hakuna mawe kwa street ni mchanga tu?
Wanaume WA Dar wanapoanza kujitetea sasa.Ivi ile nyimbo ulomshirikisha bob junior mshaifanyia videos.Naskia kwny kichupa icho mmekata viuno sio kitotoNdg wanaume hapa ukienda huko Buguruni wanaume wengi ndo wametokea huko kwenu kishapu,mwanhuzi,maswa nk,tatizo mkija mjini ndo waoga namba moja ujanja wenu mkiwa huko porini tu...huku mkija hata kuongea hamuwezi mnakoromewa na vitoto vidogo tu au labda sababu ya lafudhi mbovu labda.......Nakwambia na ujue waporipori km wewe ndo wanaifanya dar ionekane ya hovyo......jogoo la shamba huwa haliwiki mjini.....ujinja mkiwa huko gamboshi tu.
Hahaha kwa iyo ndio maana anawachukulia dada zenu kinguv nyie mnamwambia asisahau kutumia kondom tuJamaa ni mwalimu wa kareti ....anapiga ngumi vibaya mno,tena anapenda mkiwa wengi...