mkuu ukweli yule dada anafaa kwa matumizi yakumla bt nilipokumbuka pia ninamke na anaweza fanya the same nilivunjika moyo hata nikaamua kumpotezea.Aisee nimecheka. Lakini pia hizi ndio situations zinazo leta stress zaidi kwenye ndoa nahisi
Hapo wewe mwenyewe umesha mdanganya mke wako mara ngapi tu kumpigia simu na mengineyo huyo mwanamke?
mke akicheat maumivu yake hua ni zaidi ya msiba kwa mwanaume.Inauma sana hawa wanawake, bora wanaume ucheat kuliko mwanamke kukucheat[emoji16] maana akicheat unaenda kununua gunia la mkaaa chapu
Mtenda hutendwamkuu ukweli yule dada anafaa kwa matumizi yakumla bt nilipokumbuka pia ninamke na anaweza fanya the same nilivunjika moyo hata nikaamua kumpotezea.
kama we ni ke upo sawa kusema hivo bt kama ni me kuna pahala una shida.Kosa lako usitujumuishe
sidhani kama ntawah kuchepuka na mke wa mtu mkuu, siku hiyo nilijifunza mengi.Mtenda hutendwa
Bora umefanya maamuzi mema. Halafu ni majaribu maana baada ya tendo hilo unaanza kujuta.sidhani kama ntawah kuchepuka na mke wa mtu mkuu, siku hiyo nilijifunza mengi.
Hivi kumbe mkuki kwa ngurume mtamu kwa binadamu mchungu ...mke akicheat maumivu yake hua ni zaidi ya msiba kwa mwanaume.
mwanamke ukimcheat akajua ataumia bt sio kama maumiv apatayo mwanaume, kwanza unabaki unaza kanidharau au simridhishi, hakika wanaume huteswa sana na hali hiiHivi kumbe mkuki kwa ngurume mtamu kwa binadamu mchungu ...
Ndo ujue jinsi anavyoumia mwanaume na mwanamke anaumia vilevile tofauti ni kuwa sisi tumeumbiwa uvumilivu hivyo tunaamua kuvumilia...mwanamke ukimcheat akajua ataumia bt sio kama maumiv apatayo mwanaume, kwanza unabaki unaza kanidharau au simridhishi, hakika wanaume huteswa sana na hali hii
nanyi mkiolewa mnapaswa muwe na misimamo mikali na sio kua kama maharage ya mbeya ya maji mara1Mtenda akitendewa inauma sijui kwanini.
basi jitaidini sana kuwa na misimamo mikali muwapo kwenye ndoa, maana wanaume pamoja na madhaifu yao huchakalika kutafuta riziki ajil yenu sasa mkiliwa nje tunaumia mara mbili.Ndo ujue jinsi anavyoumia mwanaume na mwanamke anaumia vilevile tofauti ni kuwa sisi tumeumbiwa uvumilivu hivyo tunaamua kuvumilia...
mkuu wamitaani tuwale tu bt wake za watu tuwaheshimu sana coz hakuna anaependa kuchapiwa mkewe.Kale ka msemo Mwosha Huoshwa mkuu inawezekana ungemuosha mke wa fundi ungejiona mjanja alafu fundi akaja kumuosha wa kwako kama angejua umepita na mke wake ili akuonyeshe kwamba usichopenda kufanyiwa usimfanyie mwingine NB; Kama kweli ulimpotezea mke wa fundi umetisha sanaaaa na umejifunza kitu.