Wanaume please tusaidiane

Kutokana na mazingira haya , uhusiano wangu na familia ya wakwe zangu ni mkubwa mno . Mke wangu kila wiki lazima aende kwao, vikao na family issue za ukweni nashirikishwa sana. Majukumu yote hayo yanaambatana na matumizi makubwa ya kifedha achilia mbali mizinga ya wakwe, mashemeji na wajomba.






1. Hizo routes za mkeo tu, kwangu ingekuwa kikwazo. Unamuamini kiasi gani?

2. Huko ndiko anakokwenda kusuka mipango ya jinsi ya kukufaidi. Stuka.

3. Upendo wako kwa wakwe zako uuchuje sana. Usiwe wa kukurudisha nyuma.

4. Acha kufikiria suala la upande upi unafaidi ila bana matumizi na fanya future plans zako na family yako. Ukizubaa utachekwa baadae hasa utakapoishiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante Mkuu kwa maangalizo. Route zake amekua akizitetea kuwa ni bond kubwa aliyonayo na familia yake toka utotoni. Hana mitikasi sana na watu wa nje ila watu anaowaamini ni ndg zake tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
too much of anything is harmfull, jaribu kubalance mambo ndugu yangu
 
Weka bajeti ya familia mnapotoka kwa mwezi na itumwe sawa sawa ikiwezekana kwa wakati mmoja. Simamia msimamo hujaoa ukoo. Huu mchezo umeshamiri sana kwa watu wa klm.
 
Ndio maana vikaoni wanahakikisha haukosi, wewe ndio mfadhili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…