Asante MkuuJenga familia yako mkuu wewe mke wako na watoto wako mtaozaaa
Mambo ya nani anafaidi zaidi ya mwenzake kwa kulinganisha familia sio kitu kizuri ni chuki unatengeneza moyoni
Kabla haujamuoa walikua na maisha yao
Zungumza na mkeo mueleze hali halisi izo gharama anazotengeneza zitaigharimu familia yake na sio ya wazazi wake
Tusikwame vijana mahusiano ni ukweli na uwazi kama kipato hakikidhi maitaji mwambie
Ni balaah mkuuWazaa chema wakiamua kukuganda...dah anyway wajuzi wa mambo waja
Asante MkuuMkuu hapo cha msingi na namna ya kuweka sawa mahesabu yako kutokana na kipato chako , na mshirikishe mke wako ila kuwa makini unapompa tarifa hizo huwezijua atazipokeaje....!
Tumia hiyo akili iliyokufanya ushituke ila busara ziwe nyingi kwenye kubadili hayo mazoea uliyokuwa umeyaweka
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni ushauri mzuri...kazi hipo hapo kwenye kubalance mamboPole Sana hayo mambo ni changamoto. Ila usijaribu kulinganisha faida za upande upi unafaidika ila hakikisha mipango ya kustawisha familia yako inafanikiwa.
Kwanza kitendo cha mke wako kuwa kiguu na njia kwao kila akijisikia ni hatari sana kwako mkuu, mke anaenda huko kwa issues muhimu tu, unless kama na wewe unafurahia kupunguza gharama kwa kumsend wife kwao.
Kitendo cha kumpa ruhusa mkeo aende kwao kila mara unakuwa kama hujaoa mzee, aende huko mara moja moja sana, kwa sababu maalumu.
Kuhusu kutoa kwa wakwe, toa Kwa uwezo wako, ithiathiri maisha yako na matumizi ya ndani kwako.
Note: Angalia sana usije kujenga huko na kubakia huko, unaweza ukasahaulika kabisa na wakwenu.
Dah.... thanks sana mkuuNilichokiona kwa ni upendo uliopitiliza,
sawa upendo ni japo jema upendo ni moja kwa ya kitu nitacholeta amani iliyo ya kweli sema unashaona upendo unakupa maswali moyoni au unaathiri maendeleo ya maisha na familia yako ni tatizo.
Kwa namna ulivyoeleza kuwa Karibu na wakwe ni jambo jema lakin kuwa karibu sana ni kosa tayari ndio maana imekua rahisi wao kuleta shida zao kwako.
Kwa ulipofikia sasa inakupasa utumie akili na hekima kubwa kuona namna yakupunguza taratibu ukaribu uliopo sasa nikazie utumie akili kweli ili usije ukaharibu yakaanza maneno na kwakua ni watu ambao unawajua vizuri ukianza na mke nirahisi kwako ni jinsi gani utapunguza.
Note: weka hekima na akili mbele usiharibu kesho yako uwezi jua pengine wakawa na msaada kwako kesho kwa namna moja ama nyingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaaah mzee baba shauri tu vijana tujifunze. Hii ni thread fikirishiShauri yako!