Daaah!Nimekumbuka tu enzi hizo mwanaume anakuja vizuri tu anaomba namba unampa bila hiyana ila siku inapita wiki, mpaka mwezi haupokei simu kutoka kwake.
Kwanini unaomba namba na kusave kabisa kama hauna nia ya kupiga?
Inakera mjue.
Kijiweni mashosti nao wakaligusia hili, eti "kuna jamaa kaomba namba kwenye basi wiki sasa hajapiga kabisa, sijui aliomba ya nini mxieee"
Wanaume mjirekebishe bwana kama mtu hautaki mawasiliano nae usiombe namba, inakera halafu ni kama kumchoresha mtu.
Hasa kwa wale watu ambao bado wanasearch au MBA's inakera.Ndiyo maana siku hizi ukiomba namba mwanamke anakwambia nipe ya kwako.
Please remember to call back.
Hivi ndivyo simu zenu huwa zinasubiriwa!![emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na mwili wangu huu hata sichoki kukimbia kwa kweli. Zimefika salamu karibu tena na wao wanakupenda pia.
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Mimi "napigaga" mbona?Hahaaaa. Nimecheka sana.
Walio wengi watapita kimya kimya. Ila wanaume muwe mnapiga jamani pale mnapoomba namba na mkafanikiwa kupewa
Kweli mkuu?. Kama unapiga bora aisee mana unapunguza mawazo kwa wale waliokupa hiyo namba.Mimi "napigaga" mbona?
Kama huamini nipe nikupigie sasa hivi...Kweli mkuu?. Kama unapiga bora aisee mana unapunguza mawazo kwa wale waliokupa hiyo namba.
Hahaaa. Nakuamini sana mkuu.Kama huamini nipe nikupigie sasa hivi...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimekumbuka tu enzi hizo mwanaume anakuja vizuri tu anaomba namba unampa bila hiyana ila siku inapita wiki, mpaka mwezi haupokei simu kutoka kwake.
Kwanini unaomba namba na kusave kabisa kama hauna nia ya kupiga?
Inakera mjue.
Kijiweni mashosti nao wakaligusia hili, eti "kuna jamaa kaomba namba kwenye basi wiki sasa hajapiga kabisa, sijui aliomba ya nini mxieee"
Wanaume mjirekebishe bwana kama mtu hautaki mawasiliano nae usiombe namba, inakera halafu ni kama kumchoresha mtu.
Hasa kwa wale watu ambao bado wanasearch au MBA's inakera.Ndiyo maana siku hizi ukiomba namba mwanamke anakwambia nipe ya kwako.
Please remember to call back.
Hivi ndivyo simu zenu huwa zinasubiriwa!![emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pale unaposubiria msg za tigopesa na ukijua naira kadhaa soon zitaingia kwa account for the weekend lakini msg zinazoingia ni..
sms1 TIGOPESA: "ndugu mteja tafadhali tunza na hakikisha namba yako ya siri haijulikani na mtu mwingine."
sms2 Tigopesa: "ndugu mteja hakikisha unanunua luku mapema mafundi watakua wanashughulikia mitambo huduma ya tigopesa haitakua hewani kuanzia saa 6:00pm.
sms3 Tigopesa: " ndugu mteja mafundi wameshakamilisha tatizo la kiufundi hivyo huduma ya tigopesa ipo hewani kwa sasa."
sms4 Tigopesa:"umepokea tshs 300 kutoka tigo gawio,salio lako ni tshs 335.
sms5 Tigopesa:"ndugu mteja Tigo inakukumbusha kulipa deni lako la tar 20/8/2017 lipa mapema ili uendelee kufurahia huduma zetu".
kwa mfululizo wa msg kama hizo hadi siku inaisha lazma uvunje sim.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila ni kweli hata Mimi nimechua namba mbili hadi Leo cijapiga ma no zaidi ya miezi mitatu,magu jamani atatuuwà hela zote zipo kwenye mipango mtuvumilie wadada ktk kipindi hiki cha mpito wa miaka 10
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo namba hujatuma.... Ha ha ha.yani halafu kuna mtu kasema anatuma hela mpaka sa hivi simuelewi
Nyodo zote hizo Kwa sababu juzi dogodogo kakuandikia uziHaaaha imenitokea week lilopita !baba kanifatilia nyuma yangu weeee uwii kwanza lisinipigie tu ! pyee