Wanaume kuwa spishi adimu

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
5,168
Reaction score
8,983
Tunakoelekea kama hakutakuwa na jitihada mahsusi, idadi ya wanaume kamili au timilifu itaendelea kupungua kama sio kutoweka kabisa.

Kuna wanaume wengi saivi tena wengine wamefikia hata hatua ya kuoa na kupata familia zao lakini kumbe na wao wameolewa.

Ukitaka kuyajua vizuri haya kaa vizuri na madada wadangaji au na mabaamedi maana hao ndo mashuhuda wakuu wa vibwanga vya mambo haya.

wazazi muwe karibu na watoto wetu maana hizi tabia zinaanza uko.

akinamama muwachunguze vizuri waume zenu maana wengine wanatiwa vidole gumba kunako nnya na nyie hamna habari

Heri ya 2024
 
Ukiwa muislam safi basi rafiki wakuzungukao na mambo mengi utakoyosikia ni kuhusu uislam.

Ukiwa mtu wa kanisani sana vivyo hivyo. Hata maasi na madhambi mengi utayasikia juu juu tu.

Ukiwa mzinzi utazungukwa na wazinzi, utaona kila mtu ni mzinzi kama wewe.

Wenye hofu ya kua wanaume watapotea duniani ni hofu yenu tu kwa kua mmezungukwa na watu wa namna hiyo.

Wanaume ni wengi sana, usihofu.
 
HAYA NI MALEZI YA SINGLE MAZA MSIWAHUSISHE WAZUNGU. Kama kuna anaye bisha aangalie ule uzi wa jamaa mmoja alileta, unamuelezea single maza na malez ya mwanae ikram.
Mama Ikram mkuda sana '"Eti toto miaka saba lilale na mama yake.....!


""Toto la miaka saba linajikojolea... mama Ikram anaona sawa

"Toto la miaka saba likifokewa Mama Ikram "anasema bado mtoto huyo usimfokee ...
Kwa malezi haya tutaona mengi Kwa vijana wetu wa badae
 
fungua macho

acha kusinzia

hizo dini zimebaki kuwa kivuli cha biashara chafu tu sasa.

Je ushaskia skendo za yule sheikh mkubwa?

Je ushaskia skendo zinazoendelea kule roma?

Je ushaskia skendo za yule mhubiri nguli wa kule nigeria?

ushafatilia yanayoendelea uko israel

Toka kwenye hayo mawazo ya maporini uko
 
Lini hiyo?
 
Unajua maana ya muislam safi??
Sasa huyo sheikh wako kama anafanya upuuzi basi hana sifa ya uislam safi.

Na kwanini unaattack watu, kwani hao ni miungu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…