Wa mkoani vipi?Upasuaji mzuri na salama zaidi ni open surgery. Nenda pale hospitali ya SANITAS DIAGNOSTIC MEDIC Mikocheni kwa Waryoba jengo la Baraka Plaza. Mtafute Dr. Iqbal Ali ni bingwa wa ushauri na upasuaji. Anakuambia ukweli baada ya vipimo vyote ikiwemo PSA test kama ni salama kupasua au la. Mimi nilipasuliwa na kuliondoa na sasa ni miaka 2, sina shida yoyote na toto napiga kama job.
walikupimaje sheikh?Upasuaji mzuri na salama zaidi ni open surgery. Nenda pale hospitali ya SANITAS DIAGNOSTIC MEDIC Mikocheni kwa Waryoba jengo la Baraka Plaza. Mtafute Dr. Iqbal Ali ni bingwa wa ushauri na upasuaji. Anakuambia ukweli baada ya vipimo vyote ikiwemo PSA test kama ni salama kupasua au la. Mimi nilipasuliwa na kuliondoa na sasa ni miaka 2, sina shida yoyote na toto napiga kama job.
Uje utupe feedback, mkuu. Ni wapi umepima, process nzima na gharama zake.Kesho Insha Aallah nakwenda pima liwalo na liwe
nendeni kwa waganga wa jadiWa mkoani vipi?
Kila siku utasikia kansa ya shingo ya kizazi au kansa ya titi na uchunguzi unafanyika mnazi mmoja dsm, wanawake jitokezeni kwa wingi mpimwe.Waungwana huu ugonjwa sio mchezo kwa watu wazima, tuende kupima na wala msiogope kupima ni damu tu inachukuliwa na sio yale mambo ya vidole.... ukiwahi matibabu ni bira zaidi
Nyuzi kama hizi wachangiaji huwa wakutafuta kwa tochi, lakini nimewakilisha. Kesho Insha Aallah nakwenda pima liwalo na liwe