Wanaume above 40s tupime prostate cancer

msumeno

JF-Expert Member
Aug 3, 2009
2,827
1,729
Waungwana huu ugonjwa sio mchezo kwa watu wazima, tuende kupima na wala msiogope kupima ni damu tu inachukuliwa na sio yale mambo ya vidole.... ukiwahi matibabu ni bira zaidi

Nyuzi kama hizi wachangiaji huwa wakutafuta kwa tochi, lakini nimewakilisha. Kesho Insha Aallah nakwenda pima liwalo na liwe
 
Tatizo hapa tanzania hawajajua namna nzuri ya kufanya upasuaji wake. Wengi waliofanyiwa hapa tanzania wanaumia sana
 
Sorry kwa hapa Uganda kuna Hospital wanafanya test kwa damu tu tena sh. 40000 UGX ngoja kesho nitajua list nzima at least kwa hapa nilipo.... maana nimeshtushwa sana na Nurse rafiki yetu kanitonya kuwa mzee wake ambaye kajaa nae hata office kututambulisha kua anao, na it is too late , ukimuona huyu mzee bado ana nguvu kabisa ila ndio hivyo ... kwa kweli sikukawia nikaamua kushare wazo hili fasta na ndugu zangu wa nyumbani maana mtu kwao
 
Upasuaji mzuri na salama zaidi ni open surgery. Nenda pale hospitali ya SANITAS DIAGNOSTIC MEDIC Mikocheni kwa Waryoba jengo la Baraka Plaza. Mtafute Dr. Iqbal Ali ni bingwa wa ushauri na upasuaji. Anakuambia ukweli baada ya vipimo vyote ikiwemo PSA test kama ni salama kupasua au la. Mimi nilipasuliwa na kuliondoa na sasa ni miaka 2, sina shida yoyote na toto napiga kama job.
 
Wa mkoani vipi?
 
walikupimaje sheikh?
 
Hapo hadi ushtuliwe ndio upimaji wake ha ha ha ha ha kila lakheri mi hapana kwakweli
 
Waungwana huu ugonjwa sio mchezo kwa watu wazima, tuende kupima na wala msiogope kupima ni damu tu inachukuliwa na sio yale mambo ya vidole.... ukiwahi matibabu ni bira zaidi

Nyuzi kama hizi wachangiaji huwa wakutafuta kwa tochi, lakini nimewakilisha. Kesho Insha Aallah nakwenda pima liwalo na liwe
Kila siku utasikia kansa ya shingo ya kizazi au kansa ya titi na uchunguzi unafanyika mnazi mmoja dsm, wanawake jitokezeni kwa wingi mpimwe.
Lakini kansa ya tezi dume kwa wanaume haina uhamasishaji wa kiwango cha taifa. Ni kama vile wanaume ziiiiii!
 
Mkuu kwa hapa Uganda IMC Hospitals wanatoa huduma hii, kesho nakwenda liwalo naliwe
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom