🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔Kitu we hujui mpenja ni Simba lia lia
Pira gamondi ni kwikkwiMmeanza malalamiko mapema sana
Pole sana utakufa na kijiba chako cha rohoNdio hivyoo aue tu azam wabaguzi hawapendi wakristo ife tu
Azam media wamechanganyikiwa.View attachment 2730378
Baraka Mpenja kawa wa hovyo sana!
Badala ya kutangaza mpira yeye kazi yake kusifia
Anza wewe kufa kwa roho mbaya ndio maana mmeuza kila kitu kazi tu ushambaPole sana utakufa na kijiba chako cha roho
Hujawah na hutowahi kumiliki akilAnza wewe kufa kwa roho mbaya ndio maana mmeuza kila kitu kazi tu ushamba
Ulitaka awe Peter Durry?Mi ni yanga ila katika ma commentator siwaelewi Tanzania ni Mpenja, yani jamaa kutoa nicknames anaona ndio sifa na sijui hawawasikilizagi wakina peter drury angalau wajifunze sio kutangaza mpira kama Dj Afro
Mwanasimba kabisaaa unamlalamikia huyu Mpenja jambo dogo kama hili!....View attachment 2730378
Baraka Mpenja kawa wa hovyo sana!
Badala ya kutangaza mpira yeye kazi yake kusifia
WANDENGEREKO tu, hata kwa vitu vya hovyo
Yote hii ni baada WANDENGEREKO waliandika barua
Azam kulalamika kuwa yeye Mpenja hawapendi na hawataki atangaze mechi zao TOBA TO МАОКОТО yakaja na siunajua Mpenjatv inataka Matangazo tena!!
Baada ya hapo ndiyo sasa anasifia hata back pass kwa GK
Jukwaani Kusifia Wanasiasa now ni COMEDY SHOW.
Tukisema ni Mkakati angalia Kamwe anavyoshadadia now wanajua Wnaachofanya nyuma ya Pazia ila hi ataeanguka mtamuona Soon wala haitachukua muda
Wewe huyo bossy wenu na,ukoo wenu hamnaga akili na hamtoendelea kiakili mtabaki kwenye list ya ujinga na uzuzuHujawah na hutowahi kumiliki akil