Wanapanga wanachotaka usikie na sio unachotakiwa kusikia

Teleskopu

JF-Expert Member
May 5, 2017
702
763
Kama vyanzo vyako vya habari ni google, cnn, bbc, na vingine vinavyofanana na hivyo,
utakutana tu na "uongo rasmi" ambao huitwa 'taarifa rasmi'

Mambo yanaenda KASI sana kule duniani.
Hapa tuna amani, lakini yanayoendelea
Marekani
Australia
Canada
Ufaransa, nk, mmmh!

Ni ujenzi wa fascist states.
Uhuru wa watu unazidi kuteketea.
Kile tulichokuwa tukiwasifu nacho miaka na mikaka - uhuru wa kujieleza, demokrasia, nk,
all that is fast going down the drain.

Habari nyingi za kile HASA kinachoendelea zinapatikana kwenye
channels kama vile:
  • Truth11.com
  • Project Veritas
  • Tucker Carlson
  • @dark_universe_09
  • Vernon Coleman Channel
  • Reiner Fuellmich
  • Bitchute.com
  • Disclose.tv
  • Fallcabal
NK, NK, NK.

Kama unapenda kujua yanayoendelea na una akaunti ya Telegram
jiunge nao itakusaidia. Telegram ni mojawapo ya platform ambayo kwa kiasi fulani
sensorship haijaathiri kama ilivyo kwa google, facebook na zingine zinazomilikwa na
globalists.

Darkness is engulfing the world.
Sio kimya kama wengine wanavyodhani.
4th industrial revolution.

Walipanga toka zamani.
Wanatekeleza.

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…