GREAT NAME
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 1,093
- 1,740
Sawa Joseverest wa leoNgoja waje wenyewe.
Kumbe hakuna cha zaidiWanapata faida kupitia matangazo,
Wengine hujisikia ufahali kutokana na kupata umaarufu wa kuwa Founder!
Kwa Hisani Ya Watu Wa Mbeya!
Hahaha! Nimecheka sana mkuu,Joseverest naoba kapotea humu!Sawa Joseverest wa leo
Huyo tanuru la fikra angalau anafanya matangazo ya makampuni mbalimbali hivyo inamlipaGroup kama tanuru la fikra ,sijui slaa vs lowassa 2015 ,
unatumia jina gani kwenye group hiloGroup kama tanuru la fikra ,sijui slaa vs lowassa 2015 ,