Wanaoteka watu wanajulikana

Candela

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2021
Posts
935
Reaction score
2,555
Baada ya Gwajima kukemea utekaji nadhani wote mmeona kilichotokea
Kwa akili ya vidudu haihitaji passport wala visa kujua nani aliekerwa na kauli ya gwajima
Mwizi hawezi kukasirika akisikia wabakaji wanakemewa
Kibaka hawezi kushtuka akisikia walevi wanakemewa
Hivyo basi waliovunja na kizuia kanisa la gwajima ndio walikerwa na kauli za gwajima kukemea utekaji, na kama wamekerwa kwa vyovyote wao ndio watekaji.
Ova ova ova.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…