Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 72
Duka lipo wapi ilo?
hiyo ya 250000 usid sifa zake tafadhali.!
Hata niki itaji moja mkoani una leta?
naona bei zako ni nzuri kiasi. Na desk top bei zikoje?
procesor duocore 3.0 GHZ
memory 1 GB DOR3
HDD 80GB
screen 20inch
bei 320.000/=
mbili unusu hupokei? mwisho ngapi au pungufu huongei?
mkuu,mzarau mwiba mguu huota tende,sisi hatuna chuki na mtu,nenda huko kote fanya utafiti wa bei na ubora wa bidhaa then njoo ufananishe na za kwetu.biashara ni kuuza na kununuliana.Duka lenu bado changa sana watanzania nawashauri muende pembeni yao pale kunaitwa universal computer na ndio msomali mkubwa hapa bongo kwa kuuza komputa anaitwa raam hata hao uhuru wanachukua kwa raaam
kuna kaale anaiuza rahisi sana kuna zakaria computa naye anauza rahisi mnoooooooooooooooooooooooo
haishuki kidogo mkuu kama nikihitaji zaidi ya 1?
Product za apple je? Imac mac buk hamna?