Nasimama na Spika na Bunge sisimami na MpinaBila ya kujali itikadi, sote wananchi tuungane katika uzi huu kulaani kwa kauli moja uonevu wa spika dhidi ya Mpina.
Shime watanzania kila mtu aandike katika uzi huu maneno yafuatayo:
"NASIMAMA NA MPINA",
Hii itasaidia kumtia moyo Mpina na kumshinikiza spika Tulia kuachana na njama zake za kumnyamazisha.
NB: Huu siyo uzi wa kupiga stori, andika hayo maneno matatu tu. Comment ya kwanza nimeonesha mfano.
PIA SOMA
- Spika Tulia amburuza Luhanga Mpina Kamati ya maadili
- Luhanga Mpina apewa siku 10 na Spika kuleta ushahidi wa Bashe kulidanganya Bunge
- Luhaga Mpina: Usambazaji wa sukari haukuwa ukifanywa na mfanyabiashara mmoja wa Mwanza pekee, Waziri Bashe alidanganya
- Luhaga Mpina amshukia Waziri Bashe, adai amelidanganya Bunge, awataja Magufuli, Rais Samia
Hapana. Ushahidi ulishakabidhiwa, lkn ulikuwa bado haujafanyiwa kazi na Kamati ya maadili ya bunge. Spika anadai kwa kufanya hivyo Kamati inapokwa madaraka yake, maana itafanya kazi (itaujadili huo ushahidi) kwa shinikizo la wananchi.Ametoa ushahidi dhidi ya waziri Bashe Kwa waandishi wa habari kabla hajaukabidhi kwenye Ofisi ya Spika wa bunge.
Mpina ana hoja,lkn hofu ni kuwa anayasema haya sababu kakosa ugali au anasukumwa na ukweli wa moyo?Bila ya kujali itikadi, sote wananchi tuungane katika uzi huu kulaani kwa kauli moja uonevu wa spika dhidi ya Mpina.
Shime watanzania kila mtu aandike katika uzi huu maneno yafuatayo:
"NASIMAMA NA MPINA",
Hii itasaidia kumtia moyo Mpina na kumshinikiza spika Tulia kuachana na njama zake za kumnyamazisha.
NB: Huu siyo uzi wa kupiga stori, andika hayo maneno matatu tu. Comment ya kwanza nimeonesha mfano.
PIA SOMA
- Spika Tulia amburuza Luhanga Mpina Kamati ya maadili
- Luhanga Mpina apewa siku 10 na Spika kuleta ushahidi wa Bashe kulidanganya Bunge
- Luhaga Mpina: Usambazaji wa sukari haukuwa ukifanywa na mfanyabiashara mmoja wa Mwanza pekee, Waziri Bashe alidanganya
- Luhaga Mpina amshukia Waziri Bashe, adai amelidanganya Bunge, awataja Magufuli, Rais Samia
Nasimama na Spika na Bunge, sisimami na huyo unayetaka wewe..Hukumu utaitekeleza vipi wakati wahuni hawategemei kura ya mtu. Wanashinda "kwa kishindo" kupitia wizi tu..
#NASIMAMA NA MPINA
Mpina na Charles Taylor hawana tofauti. Baada ya kushinda uchaguzi Taylor aliendelea kuwaua hata vijana wapumbavu waliomchagua. Mpina naye ana hasira za kukosa madaraka kwenye utawala huu wa awamu ya 6. Huyo akipewa uwaziri atarudi upya kwenye ukatili wake. Wapumbavu peke yao ndo watasimama na fedhuli kama Mpina.Manabii na wanafunzi wengi wa Yesu walikuwa wauaji kabla. Hata Shetani hapo awali alikuwa malaika mkuu.
Watu hujifunza na kubadilika mkuu na tuyazingatie mabadiliko badala ya kuishi kwa historia.
Mpina ana hasira ya kunyimwa madaraka na sio kwamba ni mtu mwema. Mpina angeanza kutubu kwanza uovu wake aliowatendea wavuvi wa nchi hii kabla ya kunyooshea vidole wengine.Mpina ana hoja,lkn hofu ni kuwa anayasema haya sababu kakosa ugali au anasukumwa na ukweli wa moyo?
Halafu mwisho wa siku wanaumia wao. Luhaga aongeze umakini ktk kipindi hiki.Hasara ya wanasiasa aina ya Mpina au Tundulisu na wengineo ni kupigania haki ya raia malofa
Bila ya kujali itikadi, sote wananchi tuungane katika uzi huu kulaani kwa kauli moja uonevu wa spika dhidi ya Mpina.
Shime watanzania kila mtu aandike katika uzi huu maneno yafuatayo:
"NASIMAMA NA MPINA",
Hii itasaidia kumtia moyo Mpina na kumshinikiza spika Tulia kuachana na njama zake za kumnyamazisha.
NB: Huu siyo uzi wa kupiga stori, andika hayo maneno matatu tu. Comment ya kwanza nimeonesha mfano.
PIA SOMA
- Spika Tulia amburuza Luhanga Mpina Kamati ya maadili
- Luhanga Mpina apewa siku 10 na Spika kuleta ushahidi wa Bashe kulidanganya Bunge
- Luhaga Mpina: Usambazaji wa sukari haukuwa ukifanywa na mfanyabiashara mmoja wa Mwanza pekee, Waziri Bashe alidanganya
- Luhaga Mpina amshukia Waziri Bashe, adai amelidanganya Bunge, awataja Magufuli, Rais Samia
Yes, nakumbuka alikuwa William Shija.Kipindi cha Mkapa Waziri wa viwanda alijiuzuru kwa kashfa ya Sukari.
Mimi na viongozi walevi wa madaraka hapana. Hata afanye vizuri vipi hawezi kupata sifa toka kwangu, sana sana atakachopatia nitaona ni wajibu wake maana analipwa mshahara.
NASIMAMA NA MPINA %100! Wezi hatuwataki kabisa!!!Bila ya kujali itikadi, sote wananchi tuungane katika uzi huu kulaani kwa kauli moja uonevu wa spika dhidi ya Mpina.
Shime watanzania kila mtu aandike katika uzi huu maneno yafuatayo:
"NASIMAMA NA MPINA",
Hii itasaidia kumtia moyo Mpina na kumshinikiza spika Tulia kuachana na njama zake za kumnyamazisha.
NB: Huu siyo uzi wa kupiga stori, andika hayo maneno matatu tu. Comment ya kwanza nimeonesha mfano.
PIA SOMA
- Spika Tulia amburuza Luhanga Mpina Kamati ya maadili
- Luhanga Mpina apewa siku 10 na Spika kuleta ushahidi wa Bashe kulidanganya Bunge
- Luhaga Mpina: Usambazaji wa sukari haukuwa ukifanywa na mfanyabiashara mmoja wa Mwanza pekee, Waziri Bashe alidanganya
- Luhaga Mpina amshukia Waziri Bashe, adai amelidanganya Bunge, awataja Magufuli, Rais Samia
Bila ya kujali itikadi, sote wananchi tuungane katika uzi huu kulaani kwa kauli moja uonevu wa spika dhidi ya Mpina.
Shime watanzania kila mtu aandike katika uzi huu maneno yafuatayo:
"NASIMAMA NA MPINA",
Hii itasaidia kumtia moyo Mpina na kumshinikiza spika Tulia kuachana na njama zake za kumnyamazisha.
NB: Huu siyo uzi wa kupiga stori, andika hayo maneno matatu tu. Comment ya kwanza nimeonesha mfano.
PIA SOMA
- Spika Tulia amburuza Luhanga Mpina Kamati ya maadili
- Luhanga Mpina apewa siku 10 na Spika kuleta ushahidi wa Bashe kulidanganya Bunge
- Luhaga Mpina: Usambazaji wa sukari haukuwa ukifanywa na mfanyabiashara mmoja wa Mwanza pekee, Waziri Bashe alidanganya
- Luhaga Mpina amshukia Waziri Bashe, adai amelidanganya Bunge, awataja Magufuli, Rais Samia
Hakuna cha kumsaidia mtu aliyevunja kanuni. Unaagizwa ushahidi halafu unauanika kwenye vyombo vya habari ili upate sympathy. Muache apambane na hali yake.Bila ya kujali itikadi, sote wananchi tuungane katika uzi huu kulaani kwa kauli moja uonevu wa spika dhidi ya Mpina.
Shime watanzania kila mtu aandike katika uzi huu maneno yafuatayo:
"NASIMAMA NA MPINA",
Hii itasaidia kumtia moyo Mpina na kumshinikiza spika Tulia kuachana na njama zake za kumnyamazisha.
NB: Huu siyo uzi wa kupiga stori, andika hayo maneno matatu tu. Comment ya kwanza nimeonesha mfano.
PIA SOMA
- Spika Tulia amburuza Luhanga Mpina Kamati ya maadili
- Luhanga Mpina apewa siku 10 na Spika kuleta ushahidi wa Bashe kulidanganya Bunge
- Luhaga Mpina: Usambazaji wa sukari haukuwa ukifanywa na mfanyabiashara mmoja wa Mwanza pekee, Waziri Bashe alidanganya
- Luhaga Mpina amshukia Waziri Bashe, adai amelidanganya Bunge, awataja Magufuli, Rais Samia
Tido ni kama mimi tu. Mpina anazuri gani la kusifiwa? Mara hii mmesahau alivyotesa wafugaji na wavuvi? Hizo kelele ni za kutafuta kauwaziri tu.😂 Ugomvi wenu ni mkubwa Sana,
Hebu nikuulize ni kiongozi gani unaweza kumuunga mkono ?!
Na ndicho alichokitaka, kuwaprempt kamati na kusaka huruma ya wananchi, sasa kajikuta amevunja kanuni.Hapana. Ushahidi ulishakabidhiwa, lkn ulikuwa bado haujafanyiwa kazi na Kamati ya maadili ya bunge. Spika anadai kwa kufanya hivyo Kamati inapokwa madaraka yake, maana itafanya kazi (itaujadili huo ushahidi) kwa shinikizo la wananchi.
Vinahangaika kivipi? Aliyemwambia avunje kanuni ya kutoa ushahidi hadharani ni nani?Serikali na Bunge vyote vimemgeukia Mh Mpina hapa kuna jambo
Mh Mpina kasema kweli ndio mana serikali na bunge linahangaika
TUPAZE SAUTI KUMTETEA MPINA