Wewe umetoroka mochwari au umevunja jeneza!Jeuri ya CCM kuiba bila aibu ni kwa sababu wana uhakika wananchi hawana cha kuwafanya. Kule Kenya wameungana wanaita Vamia Bunge.
Nukuu ya Kenyata ipo sawa...Nyerere anaongoza maiti
Taarifa ya Mpina ni ya hakika na inapaswa kuungwa mkono, lakini Mimi huwa siungi mkono watu walioshiriki dhuluma kipindi cha dhalimu magu. Hivyo aungwe mkono na wananchi, lakini mimi na watu wa dhuluma hapana.Bila ya kujali itikadi, sote wananchi tuungane ktk uzi huu kulaani kwa kauli moja uonevu wa spika dhidi ya Mpina.
Shime watanzania kila mtu aandike ktk uzi huu maneno yafuatayo:-
"NASIMAMA NA MPINA",
Hii itasaidia kumtia moyo Mpina na kumshinikiza spika Tulia kuachana na njama zake za kumnyamazisha.
N.B. Huu siyo uzi wa kupiga stori, andika hayo maneno matatu tu. Comment ya kwanza nimeonesha mfano.
Mengine yote upo sawa mkuu 'OKW', isipokuwa hilo la Kenyatta.Jeuri ya CCM kuiba bila aibu ni kwa sababu wana uhakika wananchi hawana cha kuwafanya. Kule Kenya wameungana wanaita Vamia Bunge.
Nukuu ya Kenyata ipo sawa...Nyerere anaongoza maiti
Taarifa ya Mpina ni ya hakika na inapaswa kuungwa mkono, lakini Mimi huwa siungi mkono watu walioshiriki dhuluma kipindi cha dhalimu magu. Hivyo aungwe mkono na wananchi, lakini mimi na watu wa dhuluma hapana.
Mkuu ni kweli. Lkn watu hujifunza kutokana na makosa na kisha hubadilika.Taarifa ya Mpina ni ya hakika na inapaswa kuungwa mkono, lakini Mimi huwa siungi mkono watu walioshiriki dhuluma kipindi cha dhalimu magu. Hivyo aungwe mkono na wananchi, lakini mimi na watu wa dhuluma hapana.
Kitu ambacho ni kweli. Labda Tuombe msaada kwa wananchi wa KenyaMoja ya shida kuwa ya Hawa viongozi wanaamini wananchi hatuna Cha kuwa Fanya