Habari wanajamvi,kuna kitu nimekuwa nakiona sana kwenye matangazo ya kazi hasa zoomtanzania.Mtu anaweka kazi sawa ila "title " ya hiyo kazi kwa kweli huwa sizielewi.
Kwa mfano kuna kazi ilikuwa imetangazwa title ni "Computers" ,it means job title yako utaitwa Computers,hii kweli ina leta maana.
Nyingine nimeiona muda huu title ni "AutoCARD" na wanataka awe na degree au masters in computer engineering.Hivi hapa unaweza kuomba kazi ukaitwe "Commputers au AutoCARD" naomba wenye uelewa zaidi mnidadavulie mimi network haisomi.Sijui ni kutokujua kutumia hizo site mtu anajaza details ndivyo sivyo!
AutoCARD
[h=5]POSITION DESCRIPTION:[/h]
Responsible for designing products using computer-aided design software applications such as AutoCAD, Pro/ENGINEER, and SolidWorks. Designs products, creates and tests prototypes, and oversees other drafters.
bachelor degree/ masters in computer engineering
5-8 years of experience in the same field