Wanajeshi

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Mods please Naomba msibadilishe kitu hata header kwa sababu inajitosheleza)

Hii ni spin off ya ma bodyguard thread na sikutaka kuidilute hii thread

Anyway mpigapicha wa WYU alipiga picha nying za vijana wetu wakiwa kazini Comoro lakini sina hivyo kama kuna mtu anazo azilete maana najua tunaweza kufanya comparison na wenzetu wanafavyo fare


so stay tuned....
 
Last edited by a moderator:
..mimi nimesikitika askari wetu kuzama baharini Comoro. halafu, kama hiyo haitoshi, hata mwili wake haujapatikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…