Wanajeshi wengine wa Israel wafa kwa mlipuko huko Rafah

Hahaha siku hizi hawui Israel WANAWAKE na WATOTO huko Gaza, au waliuwawa wakaisha?
 
Machalii tu! Mtu ana miaka 19 mafunzo ya jeshi ameanza na miaka mingap??
 
Ushindi mkubwa sana!
 
Sio kazi rahisi kupambana na hawa, unadhani ni binti unampuuza kumbe kafungwa mabomu mwilini....hii dini bana.
Hata hivyo na nyie namba zinakaribia kusoma 40,000 kwa mliouawa.

 
Wewe ni mental case,ngoja nikuache
Mental ni mtume wenu mohammad alitaka kujiua mara kibao unataka nikupe authentic hadith. Tena baada ya kifo cha mtunzi wa Quran mkristo waraq ibn Nawfal.

Kama mimi ni mental case unaachana na mimi Mtume wenu alikuwa kichaa kabisa ukitozama source zote za uislam wanajua alikuwa kichaa hata siku alitawaza kwa maji machafu ya mtaroni yanayonuka yenye mizoga ya umbwa na damu za hedhi alisukutua pia kisha akaenda kuswali msikitini.. alikuwa hygienic person hahaha na mnamfuata kichaa aliyelogwa...

Be careful because every words you used directly to me I will use back against you in the court of law..

Mtume wenu pia hivi anaitwa Muha "MAD"
 
Nenda kapakwe mafuta madhabahuni ndugu yangu,naona unawashwa
 
Mbona hao karibu wote ni warusi? Hakuna myahudi hapo
 
Watoto wadogo wana vyeo vikubwa inanishangaza sana? Hivi ni vigezo gani vinatumika kuwapo vyeo. Wanajeshi ktk jeshi letu wenye umri huo bado ni makuruta. 19 years old ni sgt?
Ajabu kwelikweli hivyo vyeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…