Japo nilifeli chemistry na physics teh th teh teh Una maana gani ukisema sensor. ?
"Sensor ya kikemikali" kama litmus paper ambayo ikitengenezwa na kubuniwa mafuta yakawa hayana compsoition sahihi itabadilika rangi au sensor za ki-electronic ?
Ewura tayari wana mitambo ya kutambua mafuta yaliyochakachuliwa, sijui kwa nini bado tatizo hili linaendelea.Ndugu wanajamvi wataalam wote kila fani mim nilikuwa na wazo.Tatizo la uchakachuaji mafuta imekuwa fashion sana tanzania.Nazan lingekuwa ni tatizo la kidunia mda mrefu wenzetu wangekuwa washalipatia ufumbuzi.
Mim ni fundi umeme wa magari kwa upeo na uelewa wangu kuna sensor nyingi sana ambazo huundwa kwa lengo maalumu na pindi mambo yaendavyo ndivyo sivyo haraka sana majibu hutolewa.
Ikiwa kuna fire alam,oxygen sensor,knock sensor,n.k
je haiwezekani wana taalam watanzania tusigundue sensor ambayo itakuwa inasensi mafuta na kama yataongezwa kitu cha ziada mbali na vile vilivyo unda mafuta yale basi sensor itoe signal fulan ambayo itasaidia kutoa actio ikiwezekana hata kuzima gari au kustopisha pump isioperate na kuvuta mafuta hayo yaliyo chakachuliwa.
MfanoETROL ni muunganiko wa x,y,z tuchukulie kwamba wachakachuaji wamechakachua na kuongeza mafuta ya taa ambayo huundwa na a,x,b so hapo kama petrol na kerosene vitachanganywa itapatikana x,y,z,a,x,b so hapo sensor ifanye kazi ya kudetect uwepo wa A na B.
na sensor hiyo iwekwe/fungwa kwenye tank la mafuta.
Je ndugu wanajamvi wa forum hii hili haliwezekani??
naliwasilisha kwenu wandugu.
hii sio nzuri kwa sababu inaruhusu mafuta yaingie ndio igome kuwaka.ya discovery ikisense inazuia kabisa mafuta yasiingie kwenye tankHata Landcruiser V8 zina hii kitu. ngoma haiwaki kama mafuta ni ya kuchakachua. Nafikiri soon device hizi zitakua madukani kama itaonekana kuna demand.
How it works.
Kuna sensor ndani ya tanki ambayo ina detect viashiria vya uchakachuaji. kama kukiwa na viashiria hivyo based on chemical composition basi itawaka taa ya warning na garo haiwaki hadi urectify problem, normaly kwa kudrain out mafuta na kuweka mafuta safi.
Hata Landcruiser V8 zina hii kitu. ngoma haiwaki kama mafuta ni ya kuchakachua. Nafikiri soon device hizi zitakua madukani kama itaonekana kuna demand.
How it works.
Kuna sensor ndani ya tanki ambayo ina detect viashiria vya uchakachuaji. kama kukiwa na viashiria hivyo based on chemical composition basi itawaka taa ya warning na garo haiwaki hadi urectify problem, normaly kwa kudrain out mafuta na kuweka mafuta safi.