L Luccy Godwin Member Joined Feb 15, 2013 Posts 20 Reaction score 0 Mar 17, 2013 #1 wadau nina shahada ya ELIMU YA WATU WAZIMA NA ELIMU YA JAMII naombeni msaada wenu nimezunguka sana kutafuta kazi bila mafanikio plz nipeni mwelekeo maisha magumu
wadau nina shahada ya ELIMU YA WATU WAZIMA NA ELIMU YA JAMII naombeni msaada wenu nimezunguka sana kutafuta kazi bila mafanikio plz nipeni mwelekeo maisha magumu
O Offline User JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 3,828 Reaction score 2,395 Mar 17, 2013 #2 Hukuwa na malengo kipindi unafanya uchaguzi wa kozi?
S SG8 JF-Expert Member Joined Dec 12, 2009 Posts 3,955 Reaction score 2,135 Mar 17, 2013 #3 Wewe si ni Mwalimu? Kafundishe. Wenzio wanaochagua hiyo kozi huwa ni wale walioko kwenye Utumishi i.e Inservice
Wewe si ni Mwalimu? Kafundishe. Wenzio wanaochagua hiyo kozi huwa ni wale walioko kwenye Utumishi i.e Inservice
R rubwe Senior Member Joined Feb 12, 2013 Posts 109 Reaction score 25 Mar 18, 2013 #4 Nakushauri andika barua moevt ya kuomba kazi ya kufundisha ambatanisha na vyeti vyako vyote