Wanafunzi masnitch wapewa onyo ST. Joseph

Wanafunzi acheni Hizi mambo someni, Kila siku ni kulalamikia vitu vyakijinga tu
 
Mleta ujinga ni wewe usiyejua nani mjinga!
Binafsi mtu kugoma ni hiali yake huwezi kunilazimisha Mimi nigome na kuniambia nitaona, Hii inamaana Kweli? Wacha mtu agome kwa nafsi yake na sio kumlazimisha.
 
Yani mtu anayetumia mitandao kuhamasisha watu kugoma Hii haikubaliki na ni kinyume na sheria za nchi.
 
Langu moja tu,hata ukifukuzwa HELB bado iko pamoja na wewe popote ulipo ipo na 15% inakuhusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…