Wanafunzi masnitch wapewa onyo ST. Joseph

haya maneno nilisha wahi kuayaskika kwa mwakasege asante sanaa
 
Mzee kwa Tanzagiza labda ugome kula ndo utaangaliwa ila mengne usiwadanganye wenzako watatumbuliwa
 
Tanzagiza mmeo

Ndo maana umeambiwa usije kama hutaki! Na ufala mbona kitu kidogo tuuuuu.... Ila usnitch una zawadi yake


Huna akili hujui kusoma katikati ya maneno

Mpumbavu na firauni wewe zaidi.Mlea maovu ya wahindi. Hujui nini ni bluff na nini ni kweli... Hujui maana ya matumizi ya nyenzo. Unawashwa. Tutafute tukukaze wewe shoga.

Kidogo una akili lofa

We gaidi nini? Kibiti?

Nitakuchumbia mrembo


Mshenzi wewe

Hujui maana ya matumizi ya lugha nyenzo.Rudi shuleni ukasome.Soma katikati ya mistari.

Akili kama tumbili.Hovyoooooo bibi wewe
NO WONDER, akili km hz ndo za kwanza kuanzisha mgomo

Only 5 pg, matusi yote hayo.
 
City Hunter kweli hujasoma na km elimu uliyopata ni hiyo basi Mwl wako ana Cheti fake amekupa elimu fake
yaani kwa kifupi communication skills ni ZERO
Hakuna cha paragraph, coma wala nukta sentensi hazijimalizii zikafikisha ujumbe,
umekishusha hadhi hicho Chuo bora mgome tu tutasajili wenye vyeti halali
 
Watoto wapumbavu sana, msijione wanaharakati , wakati hamjui vingi, soma maliza fanya yako, au jaribu tembelea vyuo vingine ujue shida zao ndio utaacha kelele ,chuo kina walea kama watoto ila bado hamjitambui, bora ungegoma hujapata bumu , kama huelewi class basi katafute course nyingine
 
Wewe kama hutaki kugomaaa lala kwenu ukijaaaa tutakuumizaaaaa
 
Masnich wa kwanza ni baadhi ya viongozi wetu na ndio wamekuwa wa kwanza kukwamisha hili swala siku ya alhamisi walituma tangazo kuwa kutakuwa na mgomo kupitia magroup mbali mbali ya whasap lakini lilotokea sikuamini kabisa naamka asubuhi nakutana na ujimbe wa kukanusha tangazo mgomo lililotolewa na viongozi wenyewe kama bachubila hataludi chuo basi hii dhambi ya usaliti itakuwa juu ya viongozi na siyo wanafunzi maana sisi wanafunzi tunasubili tu tamko la viongozi wetu na si vinginevyo
 
Acha basi hizo kutisha wenzako, kila mtu amekuja chuo kwa malengo yake, kama wewe una agenda hiyo huyo ni wewe usilamishe mwenzako kwa kuwatisha, hii ndio democrasia tunayoililia kila siku kwa kutishana hivi!?
Huu wako ni unafiki,moja ya mambo aliyoyapigania huyo raisi aliyefukuzwa chuo ni ustawi wako wa maisha uwapo chuoni sasa nakushangaa unapoonyesha kutowaunga mkono wenzio na kudai Demokrasia ipi?
 
muwe mnaandika key points na summary

hii inachosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…