Wanachuo Watarajiwa Hii Ni Yenu + HESLB

genius92;4530307]tusubiri official infoz....

Thats whats up mkuu, af ukizingatia zmebak siku chache tu.
 
Tumesoma nae vudoi skuli flan iko mwanga muuza sura sana huyo tena alifukuzwa naye kapiga 3 huyo!
 
Wabongo wameona hamna cha kufanya ikabd watoe status zao.
kuwa makn kuna wengne
wanachukua hzo details wakidhani ni za kweli.
 
wewe muongo,toa evidence kutoka bod

halaf inaonekana hujasoma guidelines and criteria for issuance of loan kwa 2012/2013
 
wakuu mnamashaka na NIL eh hii ndo bongo
FATHER NO MONEY,NO HIGH LEARNING INSTITUTION...
Kumbuka bora uwe na daddy kuliko father utajuta...
 
Mbona unatabia za kiswazi ivo. Wanaoafiki waseme ndio. Na wasio afiki waseme sio, siooo. Wasioafiki wameshinda. Hoja yako imepingwa, kajipaange!
 

Taarifa za kinafki na roho ya umimi inatugharimu sana watanzania. Huyu kwake raha wenzake kukosa mkopo tena anacheka 'haa haa' je akiwa kiongozi sindiyo atakuwa fisadi asiyejali wanyonge. Show sympathetic atitude towards your fellows though your information is just a hearsay. And if you don't watch out, you'll probably be the first to miss loan regardless of your priority programme.
 
MemberArray


Join Date : 11th August 2012
Posts : 58
Rep Power : 314
Likes Received2
Likes Given0


thanks kwa taarifa


 
ah hii mbwiga cjui inaongea nini kuna asilima 99.9 ni lijitu zima kwa mindev ka ya beberu ila akili bora hata ya mtoto (nisamehen kwa lugha kal ila sio sir jama anavunja wa2 moyo)
 
Mtoa mada ni mwanamme au mwanamke? Bila shaka atakuwa mwanam......, maana sauti yake nzuri "ha ha haa" nouma!
 
Jf inaatoto wengi sana sikuizi, sasa umeleta mada au mipasho? Things w'll change hakuna kuogopa kujiunga na chuo!
 
haya Sasa Mi Ndiyo nimeweka hizi Pumba...

naomba Ziishie Hapa..na Hii Post ni Ya Mwisho!!!


Let Discuss other Things...ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!!!!
 

mwanangu we member wa heslb nin?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…