ya kipindi cha kiangazi huwa michungu kweli kweli.Mihogo fc
Kbsaa mkuu kijana wa watu anapambna kuhakikisha kuwa tunakuwa na furaha kwa gharam yoyote ile alfu anatokea mla miyogo Ana mfokea raisKiukweli nimekuwa nikii attack Yanga katika angle nyingi ila since nimeona hii clip ya Hersi kiukweli imenitia machungu na kunipa huruma
Huyu jamaa kaongea kwa hisia sana na inaonesha jinsi gani amekuwa akijaribu kufanya kila awezalo kuhakikisha anatengeneza mahusiano mazuri kati yake na mashabiki
Lakini kwa kilichotokea jana kupitia video hii unaweza kuona ni jinsi gani amekuwa disappointed
Kama ni kweli yale madai ya kusema jamaa ameamua kutumia hadi hongo kwa marefa na timu pinzani kwa ajili ya kuifanya Yanga ipate ushindi basi inabidi tukumbuke na fadhila zake za kujali hisia za mashabiki na ndio maana anafosi kuhakikisha wote wanafurahi.
Nimemuona kama aina fulani ya mzazi ambaye amejitoa sadaka kuipambania familia yake kwa kuhakikisha watoto wanapata mahitaji yao muhimu japo njia anazotumia sio halali.
Hersi ana malengo mazuri na Yanga na ana uchungu na Club ila njia anayotumia tu ndio changamoto kwasababu inaonesha advantage kwa upande mmoja tu, upande mwingine njia hiyo imewekewa vizuizi na ndio hapo yalipo matumaini mengi ya wana Yanga.
Mwisho wa siku Hersi anajikuta yuko kwenye wakati mgumu
Pole sana kwa hilo
View attachment 2406194
Kwani nguvu zao za kiume zimeibwa?Wala miogo mibichi
Bado hajawa mature kwenye mpira sioni unachomtetea hapo. Mchezo wa mpira una njia zake mkuu hauna shortcut hata siku moja. Huyu anafeli katika kuishi katika njia za mpira anategemea shirtcut jambo ambalo lazima kwa mechi za kimataifa uumbuke tu. Unahitaji wachezaji walio bora, benchi lililo bora na maandalizi yaliyobora. Sio mzoefu wa soka hivyo ni bora shughuli za kiuongozi upande usajili, mipango, mikakati, n.k akaachiwa wanaolijua soka lengewe. Yeye abaki kwenye ishu za kiutawala tu.Kiukweli nimekuwa nikii attack Yanga katika angle nyingi ila since nimeona hii clip ya Hersi kiukweli imenitia machungu na kunipa huruma
Huyu jamaa kaongea kwa hisia sana na inaonesha jinsi gani amekuwa akijaribu kufanya kila awezalo kuhakikisha anatengeneza mahusiano mazuri kati yake na mashabiki
Lakini kwa kilichotokea jana kupitia video hii unaweza kuona ni jinsi gani amekuwa disappointed
Kama ni kweli yale madai ya kusema jamaa ameamua kutumia hadi hongo kwa marefa na timu pinzani kwa ajili ya kuifanya Yanga ipate ushindi basi inabidi tukumbuke na fadhila zake za kujali hisia za mashabiki na ndio maana anafosi kuhakikisha wote wanafurahi.
Nimemuona kama aina fulani ya mzazi ambaye amejitoa sadaka kuipambania familia yake kwa kuhakikisha watoto wanapata mahitaji yao muhimu japo njia anazotumia sio halali.
Hersi ana malengo mazuri na Yanga na ana uchungu na Club ila njia anayotumia tu ndio changamoto kwasababu inaonesha advantage kwa upande mmoja tu, upande mwingine njia hiyo imewekewa vizuizi na ndio hapo yalipo matumaini mengi ya wana Yanga.
Mwisho wa siku Hersi anajikuta yuko kwenye wakati mgumu
Pole sana kwa hilo
View attachment 2406194
.Wala miogo mibichi
Mnafki sana huyo tanguKiukweli nimekuwa nikii attack Yanga katika angle nyingi ila since nimeona hii clip ya Hersi kiukweli imenitia machungu na kunipa huruma