Jaman laptop yangu imekua ikinisumbua sana na mara nyng nimekua nikipata msada mkubwa kutoka kwenu. My laptop nikiwasha inawaka vizuri na kudisply only front picture, ila vitu vyote havionekani juu ya screen,jaman nifanyeje? Pia kwa sasa nipo Mwanza kama kuna m2 anamfaham fund mzuri anielekeze. Asante wana Jf kwa kuzidi kusaidiana Mungu awabariki
tumia windows7 activator kama itakuwa atua ya awali,yaani kama hiyo message imeanza kutokea hivi karibuni!,vinginevyo badilisha windows vinginevyo utaamuka asubuhi huwezi kufungua hiyo windows ambapo itapelekea kupoteza data zako kama hujafanya backup
hizo mi virus computer inahitaji repair... kama hazijala sana bonyeza cntl alt delete afu uweke new task uandike explorer.exe zitadisplay ukishndwa mtafute deus namva yake ni 0762571676
mkiitumia hii jamii foramu kwa mtindo huu mtaweza kuwa okoa wengi,sasa siyo matataizo ya komputa tuu wadau semeni pia hata homa zenu mazoumwa ili watu wawa tafutie madakitari bingwaa
hizo mi virus computer inahitaji repair... kama hazijala sana bonyeza cntl alt delete afu uweke new task uandike explorer.exe zitadisplay ukishndwa mtafute deus namva yake ni 0762571676