Wamnyonyezz...

Wamlambez! [emoji1] Alisikika akisema Jammie Foxx, muimbaji na muigizaji mashuhuri kule Marekani. Sheng za Nairobi zimeteka mitandao. Ilikuwa ni Lamba lolo leo hii ni wamlambez na wamnyonyez. 🙂 ...na kwa yeyote ambaye atawaza mambo ya ajabu ajabu, hapa tunaongea kuhusu ice cream, tafadhali. [emoji38]
 
Wakenya hua wanatafsiri neno la kiingereza wanavyotaka kisha watalitengenezea career neno husika.

Refer Makmende neno maarufu Kenya.
 
Nimeikosa hiyo mkuu sijui na kwama wapi aiseee😢😢😢😢😢
 
Daah uongo huo
Kwanza haiingii akilini eti Trump aende kukomenti kwenye page ya Ruto
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…