Ni kweli kabisa hawa jamaaa inabidi wajipange na hali ya sasa.Kutokana na ukosefu wa ajira baadhi ya wamasai wamejiingiza kwenye mtandao wa wizi wa magari.kuna jirani yangu alikua na gari mbili rav 4 kwa ajili yake na Noah kwa ajili ya wife.Akamua kuajiri wamasai wamlindie nyumba yake.wamasai walifanyakazi kwa uaminifu kwa kipindi cha miezi miwili huku wanasoma ramani ya pale Nyumbani.Siku ya siku jamaa karudi kutoka kazini akapaki rav 4 ndani pembeni ya Noah kwani wife naye alikua amerudi.Baada ya mud a jamaa kashtuka rav 4 haipo na Noah inamalizia kutolewa nje.Akapiga mayowe na kwa msaada wajirani wezi wakaichia Noah na kutokomea gizani lakini rav 4 ilikua ishaondoka.Nje hakuna hata mmasai mmoja na hajui atawapata wapi.
Funzo;
Wamasai hawaaminiki tena hapa mjini badala ya kuwa walinzi wao ndio wamekua vinara wa kusoma ramani ili uibiwe.chukua tahadhari zote pindi unapotaka kumwajiri(japokuwa si wote wenye tabia hizi).
Tunaiba zizi zima na.ndama itakuwa Rav4? ???!!!!
You are just getting to know the price of cheap labour!!!!!
Makampuni ya ulinzi hamyajui????
Sasa mkuu unajisifia wizi au???
Cultural relativism and/versus ethnocentrism!!!!!
We unaona kuna hoja hapo???
Haya mkuu...ongeza hapo na Linguicism!!!! LOL
Hawa jamaa kwa kuchora ramani ndo kazi zao sikuhizi,ingawa sio wote,lakini haya matukio ya wao kuhusishwa na wizi nimeyasikia sana..hapa mjini wamejaa wanauza ugoro,shanga,wallet n.k!waganga wa asili wao,wasusi wao,yani wanaishi kijanja janja tu.
Hilo la wizi lina ukweli,mimi pia wameshawahi kuniliza.Ni kweli kabisa hawa jamaaa inabidi wajipange na hali ya sasa.Kutokana na ukosefu wa ajira baadhi ya wamasai wamejiingiza kwenye mtandao wa wizi wa magari.kuna jirani yangu alikua na gari mbili rav 4 kwa ajili yake na Noah kwa ajili ya wife.Akamua kuajiri wamasai wamlindie nyumba yake.wamasai walifanyakazi kwa uaminifu kwa kipindi cha miezi miwili huku wanasoma ramani ya pale Nyumbani.Siku ya siku jamaa karudi kutoka kazini akapaki rav 4 ndani pembeni ya Noah kwani wife naye alikua amerudi.Baada ya mud a jamaa kashtuka rav 4 haipo na Noah inamalizia kutolewa nje.Akapiga mayowe na kwa msaada wajirani wezi wakaichia Noah na kutokomea gizani lakini rav 4 ilikua ishaondoka.Nje hakuna hata mmasai mmoja na hajui atawapata wapi. Funzo; Wamasai hawaaminiki tena hapa mjini badala ya kuwa walinzi wao ndio wamekua vinara wa kusoma ramani ili uibiwe.chukua tahadhari zote pindi unapotaka kumwajiri(japokuwa si wote wenye tabia hizi).
Wamasai ni kundi la watanzania wachache waliofanikiwa kutunza mila zao kwa kipindi kirefu sasa ingawa naona speed ya utandawazi inaelekea kufunika.
back to the topic, hapo miaka ya tisini kuja mpaka elfu mbili mwanzoni liliibuka kundi la wamasai kibao wakija mijini kutafuta kazi za ulinzi almarufu watchmen, kwa kweli waliaminika nakupewa kulinda nyumba nyingi tu sababu kubwa ikiwa eti hawa jamaa ni wakali na wanaweza kutoa kichapo vizuri.
Miaka ya hivi karibuni yameibuka makupuni mengi ya ulinzi binafsi almarufu security guard nakumaliza kabisa ka sio kutupia mbali ajira za wamasai.
Sasa ndugu zetu hawa wamegoma kurudi makwao kuchunga ng'ombe elimu ya form 4 yakuwawezesha kuajiriwa na haya makampuni ya ulizi hawana matokeo yake wamekua wakishinda kwenye mabar wakicheza kamali kwenye mchezo wa pool table wengine wanazunguka na vimijiti wakidai vinaongeza nguvu Mwenge stand wameamua kushindana na dada zetu kusuka yahani wemekua wajanja wajanja tu hawaeleweki.
ushauli wangu ndugu zangu wamasai rudi darasani mkasome
who told u kwamba hawajasoma? Achaha ulimbukeni now days watu hawa wameamka kielimu sana though kuna changamoto bt kila kabila lina yake. Na kuhusu kusuka nadhani hata vijana wa kabila lako wangejua kusuka wasingekua mashoga na wezi cz wangekua na njia halai ya kuwapatia kipato. ISHI KWA KUELEWA, USIISHI KWA KUKARIRI.