Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,468
- 23,745
Ahahahaha uliua kamandaSisahau nlimtongoza demu siku ya pili akanambia anaumwa UTI, MALARIA NA TYPHOID. nikamwambia ntumie cheti hana.
Atakwambiaje sasa na wakati atakuwa ameshakufa? πHata siku akisema amefariki ntamkatalia.
Juzi tu demu wangu aliniambia kaangukiwa na feni kazini ofisini kwake. Nikatuma hela ya matibabu. Machale yakanicheza. Jioni nikamwambia nitumie picha y cheti nipate dawa zaidi ofisini kwangu. Alikasirika eti simuamini. Na cheti hakutuma.Sisahau nlimtongoza demu siku ya pili akanambia anaumwa UTI, MALARIA NA TYPHOID. nikamwambia ntumie cheti hana.
ππππJuzi tu demu wangu aliniambia kaangukiwa na feni kazini ofisini kwake. Nikatuma hela ya matibabu. Machale yakanicheza. Jioni nikamwambia nitumie picha y cheti nipate dawa zaidi ofisini kwangu. Alikasirika eti simuamini. Na cheti hakutuma.