Mkuu nakumbuka tulitolewa na uturukiMashindano ya kombe la dunia yaliyoandaliwa kwa pamoja kati ya Japan na Korea kusini yalikuwa ni mashindano yenye msisimko mkubwa sana,Senegal walitupa matumaini makubwa sana waafrika lakini Wasweeden wakatutoa.
Katika mashindano hayo ambayo mwisho wa siku Brasil waliibuka washindi kulikuwa na baadhi ya wachezaji waliong'ara kwelikweli.Baadhi ya hao wachezaji ni kama ifuatavyo:-
1.Ronaldo De Lima
2.Fadiga
3.Klose
4.Podolsk
5.Rustu
6.Ronaldinho
7.Rivaldo
8.Diouf
9.Lucio
10.Larson
hao ni baadhi ya wachezaji walionivutia katika mashindano yale,waweza ongeza wale waliokuvutia wewe.karibuni
Emil Mpenza na Mbo Mpenza kutoka Ubelgiji walicheza kwenye uwanja wa Kumamoto huko Japan
mpira umeanza kuangalia lini?mwak 2002 podolsk hakucheza world cup,kwanza alikua bado mdogo mno,acha uongoMashindano ya kombe la dunia yaliyoandaliwa kwa pamoja kati ya Japan na Korea kusini yalikuwa ni mashindano yenye msisimko mkubwa sana,Senegal walitupa matumaini makubwa sana waafrika lakini Wasweeden wakatutoa. Katika mashindano hayo ambayo mwisho wa siku Brasil waliibuka washindi kulikuwa na baadhi ya wachezaji waliong'ara kwelikweli.Baadhi ya hao wachezaji ni kama ifuatavyo:- 1.Ronaldo De Lima 2.Fadiga 3.Klose 4.Podolsk 5.Rustu 6.Ronaldinho 7.Rivaldo 8.Diouf 9.Lucio 10.Larson hao ni baadhi ya wachezaji walionivutia katika mashindano yale,waweza ongeza wale waliokuvutia wewe.karibuni
Mkuu nakumbuka tulitolewa na uturuki